Mbowe na CHADEMA wabadili gia angani, Watangaza Kumuunga Mkono Uhuru Kenyatta

Watavuna wanachopanda, hii ni kanuni na kwa kawaida haibadiliki. Sasa ni lazima wajiulize wanapanda nini, Mchicha au bangi?
 
Why Leaders are very powerful to drive followers on any direction they want them to go!!!
 
Ni vyema kuwa wakweli. Hayo ni maamuzi kutoka kwa Lowassa.


Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama chake kinamuunga mkono Uhuru Kenyatta ktk Uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Amesema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakimuunga mkono Raila Odinga katika kuchukua nafasi ya kuiongoza Kenya.

Lakini kinyume na matarajio yao, ilipofika zamu yao mwaka 2015 rafiki yao Raila aliwageuka na kumuunga mkono adui yao
 
Chadema ni chama cha ajabu na kikichopoteana sana......mnaunga mkono chama Tawala...mnaunga mkono wizi wa kura.?
 
Chadema ni chama cha ajabu na kikichopoteana sana......mnaunga mkono chama Tawala...mnaunga mkono wizi wa kura.?
Umepoteza uelewa kama ccm ilivypoteza mvuto na hiyo ndiyo shida ya vyeti feki
 
Tokea lowasa aje chadema, chama kimekuwa cha kinafiki na hii indio jamii form inajua kuwaumbua wanafiki sasa sijui Leo mbowe, lisu watasemaje manake walisema uchaguzi Kenya ulikuwa wa huru na haki.
 
Back
Top Bottom