Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama chake kinamuunga mkono Uhuru Kenyatta ktk Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Amesema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakimuunga mkono Raila Odinga katika kuchukua nafasi ya kuiongoza Kenya.
Lakini kinyume na matarajio yao, ilipofika zamu yao mwaka 2015 rafiki yao Raila aliwageuka na kumuunga mkono adui yao