G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,565
- 8,426
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama chake kinamuunga mkono Uhuru Kenyatta ktk Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Amesema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakimuunga mkono Raila Odinga katika kuchukua nafasi ya kuiongoza Kenya.
Lakini kinyume na matarajio yao, ilipofika zamu yao mwaka 2015 rafiki yao Raila aliwageuka na kumuunga mkono adui yao
Sasa huyo alipowageuka tu ndo wakaona hafai na Kenyata sasa anafaa.maana yake sela zao za kumuunga mkono mpinzani wa Kenyata nyakati zile zilikua ni za kuwahadaa wananchi kua watafanya hili na lile ktk nchi.kama hivyo ndivyo hata hapa nchini hawafai hata kidogo.ndiyo maana kwao ni rahisi kusema huyu ni mwizi na kesho yake wakasema mwizi ametubu tumchague.CCM isonge mbele