Mbowe na CHADEMA wabadili gia angani, Watangaza Kumuunga Mkono Uhuru Kenyatta

Huu upuumbavu wa hali ya juu kabisa.

Na ni ishara ya kufilisika kifikra!

Kisa cha kujiingiza katika siasa za Kenya ni nini?

Yakitokea kama yaliyotokea ile 2007 mtakubali kubeba lawama?

CHADEMA na huyo mwenyekiti wao wa maisha ni bure kabisa.
Chadema ni kituko kwa hiyo sera zao zinategemea individual decision sio party decision. Odinga kama individual aliamua kumuunga mkono magufuli kwa hiyo ndio base Ya kuamua kumuunga mkono Kenyatta? Nadhani correct approach ingekuwa kukaa kinywa lakini si kubase kwenye individual decision za laila odinga au lowasa. Chama ni zaidi ya laila au lowasa
 
Ccm ndio mmeishiwa hadi mnakwapua rambirambi
37866b072e2773eb6a1d11794bc3bd88.jpg
Mi sio CCM mkuu
 
Binafsi sioni busara kwa wanasiasa wetu kuwa na upande ktk siasa za nchi jirani, kidiolomasia hilo ni kosa kubwa sana.

Kama usiyemuunga mkono anashinda nawe unashinda, utawezaje kufanya naye kazi bila tashwishwi?

Wanasiasa wetu waache kuingilia siasa za vyama nchi jirani, mambo yetu yako mengi mno ya kushughulika nayo.

Vv
 
IMG_20170527_153123_149.JPG
 
Umenena, nahisi mzaha au sijui niite kutokomaa kisiasa ndo kunatufikisha hapa, hivi uchaguzi wa nchi jira unatuhusi nini sisi kama Taifa la Tanzania, hizi ni nchi mbili tofauti, sijawahi sikia duniani especially katika mataifa yaliyokomaa kidemokrasia yanatoa matamko kama haya yanaunga mtu Fulani katika uchaguzi wa nchi Fulani, haya mambo hata kama mnamuunga mtu katika nchi Fulani hufanywa kimya( chini ya maji),sio kuutangazia umma, hii inaweza leta sintofahamu kubwa sana katika jamm zetu za pande zote mbili, mamigogoro kati ya nchi na nchi huanza hivi polepole, hivi leo kwa bahati mbaya uhuru akishindwa atatoa lawama kubwa kwa serikali ya Tanzania kuwa ilikuwa inamsaidia odiga hivyo hivyo kwa odinga, lakini kitu ambacho vyama vya upizani vinashidwa kuelewa ni kwamba sio uhuru wala odinga wala mkenya yeyote anaeweza wasaidia wakashinda uchaguzi nchini, ni bora kuwatakiwa wakenya kwa uchaguzi mwema na mambo mengine mkawaachia wao.
 
Kwahiyo chadema wamaliza kodi yetu kwa kukaa hotelin then wanakuja na upuuzi kama huu hizi pesa za ruxuku zinatumika vibaya sana
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama chake kinamuunga mkono Uhuru Kenyatta ktk Uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Amesema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakimuunga mkono Raila Odinga katika kuchukua nafasi ya kuiongoza Kenya.

Lakini kinyume na matarajio yao, ilipofika zamu yao mwaka 2015 rafiki yao Raila aliwageuka na kumuunga mkono adui yao

Mimi Pia Nataka Uhuru Ashinde ila Baada ya Uhuru Ruto sitaki hata Kumsikia! Haaminiki na Ni Mwanasiasa Mchafu sana!
 
Hata anayedhani kinyesi ni chakula hayuko kifungoni,yuko huru kueleza anaamini kinyesi ni chakula!
Ila waliostaarabika hawamwachi,wanamwelekeza na kumtoa ujinga!
Usipoelewa basi,utaelewa mbele ya safari!
Haya vizuri,nadhani unaweza kuendelea na mambo mengine sasa
 
Back
Top Bottom