Yaani wamejipa kazi za vyombo vya dola......huu ni udikteta namba moja na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu.
Nawaonea huruma hili likifika kwa Mama Helen Kijo Mbowe na wenzake lazima wataburuzwa mahakamani.....yule mama hana mchezo na uvunjifu wa haki za binadamu.
Si umeishaambiwa Mbowe anaendesha Chadema kama familia yake, ruzuku ndiyo hizo zinanunua majengo Dubai na South Africa.
Kuandika kwenyewe taabu maskini.. Kwa utumikaji huu hata kondomu ina uafadhali..
... kwnini utabiri chadema ikifa yatatoke ya Niger delta na ya alshababu. Usitabiri kama ya CUF na NCCR? Kweli ww huitakii mema tz kwanini cuf na nccr zipate mrithi chadema kisipate?Kwa nini tunashindwa kujifunza?
Hivi CHADEMA ikifa ina maana ndo CCM itakuwa imepata nafuu?
Tujikumbushe kuhusu CUF na NCCR kila zilipohujumiwa ndio kunatokea kingine kipya na chenye nguvu zaidi.
Ikifa CHADEMA na haya mambo ya gas na mafuta ujue tutakuwa na 'Niger delta yetu" na Al Shabab.
Chadema wanazungumza,wanajulikana wanashiriki kwa hoja,ikfa utatokea upinzani ambao hautakuwa na ofisi!!!!!!!!!!!!
Vyombo vya dola na serikali iliyopo madarakani ipalilie demokrasia ya mazungumzo ikue lkn haya ya kufurahia CHADEMA kufa si ya kututakia mema!!!!!!
Mbowe na Samsoni mwigamba mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha wanapigana kwenye hoteli ya Corridor Spring iliyopo karibu na Kibo Palace Arusha. Hii ni baada ya Mwigamba kumtuhumu Mbowe kuendesha chama kiundugu.
Polisi wameshafika kuokoa jahazi
===========
UPDATE - Oktoba 27, 2013
Kutoka Mwananchi:
Mbona hakuna mahala palipoandikwa Mh Mbowe amerushiana Ngumi na mwenyekiti mkoa wa Arusha? Magazeti mnataka kuuza acheni uhuni
kumbe unamkubali nh mingulu kwa utendaji wake wa kazi ktk chama na kitaifa hongera kamanda nchemba tuko pomoja na ww m.zimungu akulinde amenKazi ya mwingulu nchemba hiyo anafurahi sana kuona mipango yake inaenda sawa
Crashwise njoo huku