Lema wote tunajua aliko kuwa kwenye ile taluma yake ya kushika silaha kwa hiyo haya ni matunda yake.Halafu ukisoma hiyo habari vizuri, chanzo cha ugomvi wote ni LEMA, sijawahi kuona Mbunge aliyekosa busara kama huyu, Bora hata SUGU!
Sio lazima na sio haki! Ila usipotii amri bila shuruti basi utashurutishwa! Hata polisi wanaijua hii dhana vizuri tu!
Mwigamba kuna mambo mengi alikataa moja wapo kutoa hiyo laptop yake, kutoa maneno ya kejeli na matusi, kukataa kutoka nje kwa amri ya mwenyekiti...ulitaraji nn km sio kutumia nguvu kumtoa nje? Na pia yeye ndo alikua wa kwanza kurusha ngumi, ulitarajia nn kitatokea? Think tank!
Ni kweli mkuu kavugwa kweli make sikutegemea mtu kuongea ubwabwa kama huu.Angalia Avatar yake halafu uangalie na maneno yake anayoandika ndio utajua kwamba kavurugwa ile mbaya!kavurugwa huyo kaa nae mbali!.
Chadomo bana....juzi tu mlikuwa mnalia na waziri mkubwa kwa kauli yake ya WAKIKAIDI WADUNDWE....lakini linapokuja upande wenu ni halali....
Teh teh teh! Kwa hiyo Chadema hawawezi kufanya uchaguzi kwa kuigopa CCM si ulisema mnaanza na Mungu kulikoni tena.
Ni kweli mkuu kavugwa kweli make sikutegemea mtu kuongea ubwabwa kama huu.
Lema wote tunajua aliko kuwa kwenye ile taluma yake ya kushika silaha kwa hiyo haya ni matunda yake.
wakati huo serekali ilikuwa likizo?
Eti kakichafua chama........sasa ndio aambulie ngumi na kufukuzwa.
Kama umechafuliwa si unatafuta njia za kuonyesha kuwa ukweli ni huu na sio anayosema huyo.
Kwa vitisho na ubabe wa aina hii, kweli kutakuwa na uhuru wa kujieleza ndani ya hii saccos inayoota siku moja kuongoza watanzania ?
Hivi nyie Chadomo si ndio mnaongoza kwa kuchafua wengine......sasa mnaona wenzenu wanavyojisikia pale mnavyopanda majukwaani au kuweka kwenye mitandao ya kijamii mambo yanayochafua wengine ?
Kina Lema, Mnyika, Mdee, Sugu wanavyoropoka kuchafua wengine mnachekeleaaaaa, ila linapohamia kwenu mtu anadundwa na kufukuzwa.
Ushauri wa bure....unapohudhuria mkutano ili hali wewe sio wa "north zone" na una mawazo tofauti na ya "zidumu fikra za m/kiti" ingia umejihami....walivyo wengi wakikuchangia.....ukitolewa hapo ni moja kwa moja MOI.
Hicho kitendo cha kumnyanganya laptop yake na kusoma mawasiliano yake ni kosa kubwa sana, hilo pekee linatosha kuwapeleka kwa segerea.
Harafu wanaongea kwa mbwebwe kwamba waliingilia mawasiliano yake bila hata haya, yani viongozi hawa ndo mnategemea kuongozwa nao. Kwa heri.
ulitaka awe mwenyekiti wa nyumba yakoEti, Mbowe nae ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama fulani.....
Kama ilivyo kwa Dr Jakaya Kikwete na Prof. Lipumba. Kazi kweli kweli
Akitangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari jijini Arusha jana, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Israel Natse alibainisha kuwa uamuzi wa kumsimamisha Mwigamba katika nyadhifa zote za uongozi ndani ya chama ulifikiwa na kikao cha Baraza la Uongozi wa Kanda ya Kaskazini kilichokutana juzi.
Kwa nini tunashindwa kujifunza?Hii Saccos ya Wachaga ina mwisho wake tu.