Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

@Aminangalo

Bila shaka utatakiwa kutoa ushahidi wa habari ya uzushi kama hii. Muda huu, Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe yuko kwenye kikao. Hakuna kitu kama hicho ulichoandika.

Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 CHADEMA inatakiwa kuwa na taswira ya kuwa chama chenye uwezo wa kuongoza nchi.
 
Hii Saccos ya Wachaga ina mwisho wake tu.

Saccos ya wachaga? Najua unamaanisha chama cha wachaga! Dr. Slaa ni mchaga? Mzee Kimesera(masai) mwkt wa jumuiya ya wazee CDM Taifa naye ni mchaga? Professor Safari, Tundu lissu, Mnyika, Mdee, Heche, Wenje, Zitto, Millya na wengine kibao..JE hao Wote ni WACHAGA?!! Kajipange tena upewe buku 7 maana hapo umeropoka..
 
We kichwa cha kufugia nywele achana nami, wewe hujijui kuwa hujui hivyo ni janga kwa taifa hili na huna thamani kabisa kwa Tanzania hii. Pevuka
 
Ukiwa unaudhuria vikao vya CDM lazima uwe umevaa helmet maana ngumi ni lazima zipigwe.
 
Mimi mwenyewe nashangaa sijui mods wako wapi, haiwezekani uzi unaokiumbua chadema uachwe hapa muda wote huu......

Umeona eee! halafu bavicha wakishaona hivi, wanaaanza kutukana, kisha Mods wanafyata kwa kufunga hii thread.
 
Mantiki ya kiongozi mpaka apigwe siioni kwani mtu kusimamishwa uongozi hadi apigwe?

Sio lazima na sio haki! Ila usipotii amri bila shuruti basi utashurutishwa! Hata polisi wanaijua hii dhana vizuri tu!

Mwigamba kuna mambo mengi alikataa moja wapo kutoa hiyo laptop yake, kutoa maneno ya kejeli na matusi, kukataa kutoka nje kwa amri ya mwenyekiti...ulitaraji nn km sio kutumia nguvu kumtoa nje? Na pia yeye ndo alikua wa kwanza kurusha ngumi, ulitarajia nn kitatokea? Think tank!
 
Kichwa cha habari "Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi".

Utumbo wa habari "Mwigamba kamrushia konde Lema". Na mods bado hamchukui hatua tu.
 
We kichwa cha kufugia nywele achana nami, wewe hujijui kuwa hujui hivyo ni janga kwa taifa hili na huna thamani kabisa kwa Tanzania hii. Pevuka
Wewe huna akili chama kinaongozwa kihuni na kibaguzi halafu unashabikia au wewe ni miongoni mwao hao wavunja sheria na kanuni.
 
Umesema vema kwa sasa ongezeni kipengele cha kupigana kwenye vikao kiwe wazi kwenye katiba ya chadema ili kila mtu akienda mkutanoni awe na zana za kutosha kujilinda kivita au kimapambano,

Kumbe mlijua kuwa mwigamba atapigwa tu makajiandaa kumpiga lakini yeye hamkumwambia ajiandae kuwa kunakupigana.
 
Fukuza, futa, delete tupa kabisa Mwigamba.
 

weka picha
Kuchangia maada ya kipuuzi nawe unakua mpuuzi,kwa kua nimechangia nami huenda ni mpuuzi,lakini kwa kua nimegundua upuuzi wa mleta uzi huu nami naishia hapa ili nisiwe mpuuzi zaidi.
aminangalo
Bila shaka utatakiwa kutoa ushahidi wa habari ya uzushi kama hii. Muda huu, Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe yuko kwenye kikao. Hakuna kitu kama hicho ulichoandika.
Mwita Maranya na wenzako toka juzi mapaka leo mnakataa yaliyotokea huko arusha mnataka ushahidi gani tena
Sijaliona kosa la
aminangalo na Magazeti mtasema ni UONGO au hamtaki kukosolewa?

UPDATE - Oktoba 27, 2013



Kutoka Mwananchi:
 
Last edited by a moderator:
Wewe huna akili chama kinaongozwa kihuni na kibaguzi halafu unashabikia au wewe ni miongoni mwao hao wavunja sheria na kanuni.


Angalia Avatar yake halafu uangalie na maneno yake anayoandika ndio utajua kwamba kavurugwa ile mbaya!kavurugwa huyo kaa nae mbali!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…