Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

Mimi nilishalishtukia Raia Mwema, miaka kadhaa iliyopita. Walipoanzisha Raia Tanzania, nikajua ni another ccm tentacle. Sitathubutu kutoa hata senti moja kulinunua.
 
Jamaa wamepigika sana wanaandika habari yeyote hela yako tuu kuanzia buku wao sawa wako vibaya mno kesho itakuja ingine ili mradi unalipa wanatoaa
 
...Manyerere na haka ka gazeti kako umenunuliwa na Membe.Raia mwema na Raia Tanzania wote rubbish ndugu moja.
Lowassa ndio Rais wa hii nchi endeleeni kujiliwaza tu.
#vivatanga!
 
kwanza walisema bilioni 10 sasa wamepunguza hadi bilioni 5, kwani Slaa alipata ngapi kwa kumpeleka Lowasa ukawa? hii habari tunaijua tayari na tumeamua kumchagua Lowasa kama raisi mpya wa jamhuri ya muungano ya Tanzania.
 


Nilifikiria wataongea kuhusu ESCROW wanaongea kuhusu pesa binafsi ya Mtu ambayo ukimbana akupe evidence hana.Ni ajabu.
 
Kama siyo kweli semeni uchaguzi wa kumptisha mgombea ulinyika lini na wapi na je michakato ilikuwa ya wazi na demokrasia kama ilivyo CCM?
 
Hiyo habari is 60 days old...!!
Sasa hivi story ni "Mabadiliko nje ya mfumo chakavu wa ccm hayaepukiki..." Andikeni hiyo habari mtauza sana kagazeti kenu hako..!
 

Bora hizo pesa tungegawana wote chama tujenge wote pesa wagawane na mkwewe haiwezekani bora jahazi litote tugawane mbao kura zote kwa magufuli.
 

katiba mpya yenye kujali maslai ya nchi na wananchi katiba ya warioba ndio itatuletea mabadiliko mi nnavyodhani sina uhakika kama magufuli katika mikutano yake kama kaongelea ili suala
 
Wajanja wamekabidhi chama kwa tapeli na ndo maana akina Msigwa hawaonekani kokote ..anaitafuta Ikulu hata kwa kukinunua chama, hatarii hii, sema uzuri wenye akiri tushajua la kuvunda halina ubani. Lowassa hana ubani
 
Acha apokeee kwa maslah mapana ya taifa kura yangu kwa LOWASSA NA USHIND NI ASUBUH MAPEMA KABLA YA MISA YA PILI
 
Tungejua kikwete ni mpiga dili tusingempeleka ikulu. Kwa kiea tumejua lowassa ni mpiga dili hatari hamna kwenda ikulu
 

Kumbuka kuwa chanzo cha habari sio gazeti lenyewe Raia mwema, bali Milard Ayo! Kwa hiyo ni habari zilizotolewa kwenye chanzo tofauti na gazeti lenyewe. Kwa hiyo Raia Mwema hapa wanachafua tu watu, habari hiyo hata wao hawana uhakika nayo.

Vv
 
Hivi lowassa ndie mwizi pekee Tanzania chenchi za rada escrow madini nani kawajibishwa ukinijibu hayo kura yangu kwa magufuli ipo ukishindwa lowassa ndie Mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…