The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Mimi nilishalishtukia Raia Mwema, miaka kadhaa iliyopita. Walipoanzisha Raia Tanzania, nikajua ni another ccm tentacle. Sitathubutu kutoa hata senti moja kulinunua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ikulu hamuioni
Dilunga anasomeshwa na Membe. Watoto wake wanasomeshwa na Membe. Mke wake anasomeshwa na Membe... Unategemea aandike nini sasa
Jamaa wana pandikiza chuki za kijinga nchi nzima kama mbowe kapewa billion sisi haituhusu tunaangalia maisha bora waliotuambia ccm yapo?
Ccm mtuambie umeme utakuwa wa uhakika lini?maji hakuna bara bara hasa vijijini shida ..deni la taifa haliendani na vivyotekelezwa nk
hata ukiangalia kapeni za gambaz kila mahali ooo huyu kapewa pesa kala huwezi amini mpaka kwenye udiwani wanawachongani eti flan kapewa m 20 chukuwa m10 jiuzulu uje ccm mmmhhh

Mabadiliko ya kweli ni magufuli. Tatizo letu watz ni mihemko tu. Sina shida na mabadiliko lakini ni mabadiliko yepi na nani anayeyaleta sio ili mradi mabadiliko. Tuhuma kama hizi si za kupuuzia hata kidogo eti kisa mabadiliko. Ivi tunawezaje kufunika tuhuma za kifisadi zilizofanywa na lowassa kwa kujivika kofia ya mabadiliko. Mimi ni mwana ukawa lakini napenda misingi bora ya uadilifu. Hatuwezi kupiga kura kwa ushabiki otherwise tutajutia
Hili gazeti ndio lilikuwa la Kwanza kuripoti habari za Dr.Slaa kustaafu Chadema....lilipewa matusi ya kila aina.
Likaja kuripoti habari ya Lipumba kustaafu CUF... Likapewa matusi ya kila aina.
Leo linakuja na habari ya Mbowe kupewa hiyo pesa, watu mnawatukana, ninahakika hili gazeti linaushahidi wa hizi tuhuma sijawahi kulipuuza, ngoja tuendelee......
Hivi lowassa ndie mwizi pekee Tanzania chenchi za rada escrow madini nani kawajibishwa ukinijibu hayo kura yangu kwa magufuli ipo ukishindwa lowassa ndie MabadilikoMabadiliko ya kweli ni magufuli. Tatizo letu watz ni mihemko tu. Sina shida na mabadiliko lakini ni mabadiliko yepi na nani anayeyaleta sio ili mradi mabadiliko. Tuhuma kama hizi si za kupuuzia hata kidogo eti kisa mabadiliko. Ivi tunawezaje kufunika tuhuma za kifisadi zilizofanywa na lowassa kwa kujivika kofia ya mabadiliko. Mimi ni mwana ukawa lakini napenda misingi bora ya uadilifu. Hatuwezi kupiga kura kwa ushabiki otherwise tutajutia