Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by singidadodoma, Sep 29, 2015.

 1. s

  singidadodoma JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2015
  Joined: Nov 11, 2013
  Messages: 4,398
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. mjomba wa kale

  mjomba wa kale JF-Expert Member

  #81
  Sep 30, 2015
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Utamnyima wewe na familia yako ----- wewe
   
 3. Mis powers

  Mis powers JF-Expert Member

  #82
  Sep 30, 2015
  Joined: Jan 2, 2015
  Messages: 1,281
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 280
  Duuuh mnatuvuruga tu.. Lakn mabadiliko ni lazma mwaka huu na syo mwk mwngine!!
   
 4. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #83
  Sep 30, 2015
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 16,041
  Likes Received: 14,978
  Trophy Points: 280
  Aliyeuza Loliondo ni nani?
   
 5. s

  sifaeli Member

  #84
  Sep 30, 2015
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Kama wameweza kuuza chama chao ndo washindwe kutuuza watanzania du umakini no muhimu
   
 6. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #85
  Sep 30, 2015
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,597
  Likes Received: 978
  Trophy Points: 280
  Kama habari hii ingekuwa inauza UKAWA ingekuwa imeishakufa lakini cha ajabu ndio kwanza mnaipaisha na hili gazeti linazidi kujifia na sijui baada ya uchaguzi Kwisha litaandika nini
   
 7. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #86
  Apr 13, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,608
  Likes Received: 14,669
  Trophy Points: 280
  hii bilioni 5 ndio imeingizwa kwenye chama kama mkopo?
   
 8. mjumbe wa bwana

  mjumbe wa bwana JF-Expert Member

  #87
  Apr 13, 2018
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 3,381
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  kaburi hilo mtu kafukua sasa
   
 9. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #88
  Apr 13, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,608
  Likes Received: 14,669
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha...watu wa kuconnect dots
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #89
  Apr 13, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,608
  Likes Received: 14,669
  Trophy Points: 280
  Mabadiliko ya salamu yatabaki huko huko ufipa
   
 11. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #90
  Apr 13, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,608
  Likes Received: 14,669
  Trophy Points: 280
  Mabadiliko ya salamu yatabaki huko huko ufipa
   
 12. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #91
  Apr 13, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,608
  Likes Received: 14,669
  Trophy Points: 280
  Mabadiliko ya salamu yatabaki huko huko ufipa
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...