Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

Wakati gazeti la raia mwema limedakua habari kwamba lipumba ajivua wadhifa wa kuwa mwenyekiti wa cuf, katibu mkuu wa cuf maalim seif alikanusha katakata kwamba ni uvumi usiokuwa na tija kwa madai kwamba usiku wa jana yake aliongea nae sana na hakukuwa na kitu kama hicho na baadae lipumba akatangaza kujivua wadhifa wake. Je niwaulize wanaukawa wenzangu huo ulikuwa bado uvumi au? Jamani watanzania tujaribu kufikiri kupana si kila kitu tunabisha bisha tu bila facts. Na kama ni kufungia magazeti yanayozua basi hata na maawio lifungiwe maana gazeti hili ni bias hasa. Huwezi kuona uchambuzi wa mabaya yanayofanywa na viongozi wetuwa ukawa
 
Edo, is more than 5n, kwa kiongozi yoyote wa upinzani na hali ya siasa za upinzani uliokuwepo kabla ya ujio wa lowasa kumpokea lowasa ilikuwa sahihi wewe RAIA Mwema ulioni hilo au unaandika kwa kutumwa
Niko tayari kuacha laana kwa familia wasije kununua hill gazeti LA udaku lenye mlengo was we uchochezi
andika story zinazoendana na mahitaji ya wasomaji
usifikiri unachotaka kuandika siyo kipya kwa msomaji, lazima utaget kwa wasomaji wengi na siyo mabwana wanaokutuma uandike, na haina maana uandike halafu wasomaji no wale waliokutuma, ambao no wachache sana, hivyo kupelekea mabakii kuwa mengi hasara kubwa na kuifanya mesegi isimfikie mlengwa,nalabuk
 
Uwezo wa ccm kujenga hoja umekwisha
Ingekuwa hivyo huyo slaa wenu anges ema siku ile
Labda mniambie kupokelewa duh lakin bado
Ujio wa lowasa chadema ukilakiwa na kila mtu kama unavyoona Kwa wananchi
 
Sio rahisi, ndio maana wameiweka hiyo 'Milard Ayo' ili kujivua hatia ya kupika habari. Nimesikitishwa sana na Jenerali Ulimwengu kukubali Gazeti lake kutumika na Habari za kikanjanja, huenda baadaye wakashindwa kuliendesha kama ilivyowakuta enzi wakimiliki Rai.

Vv

Hiyo ndio habari ya mujini kununuliwa
 
hata wakiweka jiwe, mind kwamba Lowasa na chama two different entities kutakwepo mwenyekiti wa chama na atakuwepo Rais atakayewajibika kwa chama, na cyo rais na mwenyekiti Huyo huyo mnaishia kusema mawaziri mizigo, then?
 
ilo gazeti jipya nini?? naona limekuja kwa kasi kweli,lina wateja kweli??
 
hili gazeti lijiandae kuwapa hela mbowe na mtei kama fidia endapo itafunguliwa kesi
 
Ivi lowasa anapitishwa tena au gazeti limechapwa tena kwa tarehe ya nyuma? Maana habari imekaa kizamani sana kama June 2015 wakati leo ni October kasoro!
 
GAZETI LA ZITTO linafanya kazi ya kuchafua chadema baada ya Kampeni zao kushindwa
 
Hii nchi kuna watu wameshaifanya shamba la bibi. Na ndio maana wengi wanaotaka mabadiliko ni maskini. Na hata kama matajiri wapo ni wale ambazo walitajirika kihalali. Kwa hiyo msishange kuona baadhi ya vyombo vya habari kutumika kuwachafua baadhi ya wagombea. Ila wala sina wasiwasi kwani watanzania maskini ni wengi na ndio wanataka mabadiliko.
 
Hili gazeti ndio lilikuwa la Kwanza kuripoti habari za Dr.Slaa kustaafu Chadema....lilipewa matusi ya kila aina.

Likaja kuripoti habari ya Lipumba kustaafu CUF... Likapewa matusi ya kila aina.

Leo linakuja na habari ya Mbowe kupewa hiyo pesa, watu mnawatukana, ninahakika hili gazeti linaushahidi wa hizi tuhuma sijawahi kulipuuza, ngoja tuendelee......
 
wapiga deal hawa washampiga hela fisadi na wajua fika hashindi uraisi


DSC00847.jpg
 
hili gazeti lijiandae kuwapa hela mbowe na mtei kama fidia endapo itafunguliwa kesi

Hiyo habari imeandikwa kwa staili hiyo ili Mbowe na Mtei wakanushe, halafu waletewe ushaidi kamili.
 
hizi ni dalili za kuzidiwa MAPIGO.mnaanza kwendq nyuma ya wakati kwa kukumbushia habari zilizopuuzwa.
ya richmond mmeona haina matokeo mazuri.
endeleeni na hizo ss ni km jana tanga
 
Back
Top Bottom