Mwanagandila
Senior Member
- Oct 9, 2011
- 182
- 100
Ilikuwa ni furaha na vifijo na nderemo ndani ya viwanja vya ustawi wa jamii, umati mkuvwa ulijitokeza kuwapa sapoti wasanii wanaodai maslahi kupitia sanaa yao ya music.
Vinega walipiga show kali kiasi kwamba kila alikidhika na kiingilio alichokitoa, sugu alikamua na kuwarusha raia ile sana, mapacha, soggy, adili, rama d na wasanii wengine wengi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shoo saa 7 usiku ilikuwa ni bandua.
Na mwishoni wakati sugu akiimba mbunge wa ubungo John Mnyika na Mbunge wa Ilemela Hynes Kiwia walijumuika jukwaani kucheza na kumpa sapoti Sugu, mh Mbowe mbunge wa hai naye alihudhuria na kuomba vyombo vya usalama viongeze mda kidogo sugu na vinega waendelee kutoa mistari toka saa 6 mpk saa 7 show ilopoishia kitu ambacho wapenzi wa music walifurahia sana.
Kwa kifupi sugu na vinega wamefanikiwa coz raia waliitikia wito na kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti wazawa!