Ile movement ya Katiba Mpya naiona kimya, sijui ndio anaendelea kuwavutia kasi CCM waliodai wataanzisha mchakato ambao wala haujulikani utaanza lini.
Na mikutano ya hadhara nayo itaanza lini? au ndio anaendelea kuyaamini mazungumzo yao ya maridhiano? anyway, naona kuna mambo mengi ambayo hata sielewi maendeleo yake.
..kuna makongamano yanaendelea mikoani.