Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Kwani Juliana Shonza amefanya lipi la maana ccm hadi kuzawadiwa ubunge na unaibu waziri?
Shonza ni mtoto wa kike yule kuna vitu anafanya ukute vimempa credit hadi amepewa hiko cheo , wewe unadhani Upendo Peneza amefanya nini Chadema hadi kuzawadiwa viti maalum?
 
hana njaa mpaka kichwani kama wewe maana unaelekea njaa imehamia kwenye kichwa chako cha juu mpaka hufikiri sawasawa
Angekuwa hana njaa angehamia Nairobi kwa ajili ya kupokea michango?........wewe usiye na njaa ndio mwenyekiti wako amesema huna msaada wowote kwa chama, kalagabaho!
 
Angekua hakufanya lolote wangempa nafasi yakugombea EALA? Mbowe bora angekaa kimyaa maana kajidhalilisha na kuonyesha kichwan vile hamnazo, pale Chadema wapo vijana kama kina Malisa walikua hawafai kwenda EALA? Tena Masha akapewa nafasi ya pekee miongoni mwao, akatakiwa apite bila kupingwa alaf anaimba ngonjera leo...Dj rud shule ohoooo
 
naanza kuona uwezo wa kisiasa kwa mh. mbowe ukipungua taratibu sasa. Nikisema labda ni kwa sababu ya umri nadhani sitakuwa sawa, sababu halisi anaijua yeye.
Hivi huyu si ndiye aliyekuwa akimsifia sana masha kipindi kile cha uteuzi wa wabunge wa EA kupitia chedema,
this is not strategic politician hon. mbowe i knew!
 
uchaguzi wa TLS?? masha did well

insipiration to new members..

mbowe akae kimya, kuna siku atahama.na yy wenzake watasema alikuwa mzigo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mimi sijawahi kuwa Chadema na si mtumwa wa vyama, adui yangu ni ccm tu.

Mtu anayejitakasa kutoka huko sina tatizo naye, labda kama hujui siasa ni nini omba ufundishwe.

Leo Mbowe akitangaza kujiunga na ccm Magufuli atatangaza siku ya mapumziko kitaifa kwa sababu hizi ndio political milage.

ndio nimejua leo!! kumbe tuko wengi afadhali bana

hata MTAZAMO sio muumini wa vyama
 
kura za TLS alpiga masha ee?

mbowe na sio chadema?

myb angekua mbunge angeitendea mema chadema
then hakuwa mbunge.....
"useless till make you're self useful

Masha ex minister, MP anaambuwa hana msaada

wewe mwenye jina la kichina humu JF, mbowe si anakuona kama kakinyesi ka kichina? takataka kwake! msimchekee yy kudhalilisha utu wa mtu
 
Mbowe ili mtu awe msaada kwa CHADEMA anataka apewe hela yupo kibiashara zaidi

CCM Lumumba's acheni unafiki...!!!
Nyalandu kahama CCM leo mnampiga madongo kana kwamba yeye peke yake ndo amewahi kuwa Waziri wa Maliasili/Utali!!
Mnashangaa nini Masha kutokuwa na msaada kwa CHADEMA? Wenye msaada kwa chama wapo kina Lowasa, Sumaye na Nyalandu. Masha sijamskia akilaani kupigwa risasi kwa Lisu na Kikundi cha Mauaji cha Bashite wala hakuwahi kufika Narobi kumjulia hali Lissu...!!!Acha aondoke...!!!Akiondoka Masha 1 wanaingia kina Nyalandu kibao!!
 
Mimi sijawahi kuwa Chadema na si mtumwa wa vyama, adui yangu ni ccm tu.

Mtu anayejitakasa kutoka huko sina tatizo naye, labda kama hujui siasa ni nini omba ufundishwe.

Leo Mbowe akitangaza kujiunga na ccm Magufuli atatangaza siku ya mapumziko kitaifa kwa sababu hizi ndio political milage.

Tuko pamoja!
tatizo vijana wengi wa MACCM na CDM hawatambui hilo kuwa unaweza ukawa shabiki wa Upinzani na usiwe mwanachama.
 
Alushawekwa Ndani rukwa akiipigania Chadema
Lengo lenu lilikuwa kufifisha habari ya Nyalandu kuhamia Chadema , Washauri wenu ni wajinga sana ! Mtu aliyeacha ubunge na vyeo kibao , utamfananishaje na Masha ambaye taarifa zinaonesha kwamba hata gwanda tulilompa amekimbia nalo ?
 
Tanzania na wanasiasa wetu!

Kwa mtaji huu, hata yeye (Mbowe) kuna siku ataambiwa hakuwa na msaada wowote ndani ya CHADEMA.

Hekima na busara ni nguzo muhimu katika maisha/siasa
 
Back
Top Bottom