Wee listen mm naandika all truth...sio kama ww unaleta umbea na uongo kama Nyoka la ndimu, wala hamuuziki...
Mengine ni haya...
Membe wako hafai, muongo kama ww..!!
Mbowe ni Lover boy tu, wa kisiasa na jamii, Juzi bungeni, just 9 days ago, Mbowe huyu huyu, kasema Lowassa ni safiii, na kiongozi wa kuigwa, na kusema Richmond Lowassa hakuchukua hata shilingi, ni makundi adui ndani ya CCM yaliwajibisha kutaka Uwaziri Mkuu, akaendelee kusema, Bunge lilipotoshwa kuhusu Richmond, ila Lowassa kwa KUONYESHA UKOMAVU WA KISIASA, UONGOZI BORA NA DEMOKRASIA ya hali ya juu aliwajibika kutokana na watumishi wa chini yake, huyu ni mfano wa kuigwa...Huyo ni Mbowe, juzi akiwa Bungeni...!!! Huku Tv zikimuonyesha na baada ya hapo Ole Sendeka akafuata akasema, Kama kuna mtu nchii hii itamkumbuka kwa uamanifu, ujasiri, utendaji kazi imara ni Lowassa, kuhusu Richmond alikuwepo ktk kamati hata kamati iliweka wazi hakuchukua hata senti tano, kila mtu anajua...huyo ni Ole Sendeka...
Sasa ww leo Mbowe, lover boy, anasema haya kama nani..!!? eboo...kasahau juzi tu alimpongeza Lowassa kama mfano wa kuigwa...Sbb ni MOJA TU....LOWASSA KAWACHOMOLEA KWENDA UKAWA....hili ndio jibu, Mbowe kaona DILI LAKE LIMEBUMA, kawa frustrated, MAANA WANAJUA LOWASSA ANGEENDA UKAWA, CCM INGEKUWA HISTORIA....hili liko waziii....UKAWA wamekaa kimyaa walingojea CCM wamteme Lowassa wamchukue kilaini, sasa dili chaji, ndio maana Mbowe alijipinda bungeni kumpongeza sana Lowassa juzi tu....
CCM mbona issue ndogo sana hii kui handle, na kumwacha Lowassa awe Rais, na CCM itatawala, CCM inajua siasa za kistaarabu, kihuni na kisasa, sasa UKAWA hawakujua hili, CCM haiwezi kuacha CHAMA KIFE sbb ya chuki binafsi, kamwe, na mambo ya kipuuzi hatutaruhusu tumkose RAIS BORA, KIPENZI CHA WATU...hii ndio CCM..!!!
Sisi tunaona ya jikoni, nyie someni magazeti...They are newz makers and news readers...!!!
Halafu, ww mwanamke player...Kuhusu mtu wako nyoka la mndimu, sahauni...nendani mkafanye uongo wenu, JK kamawamaliza juzi..kasema wazi, CCM hakiwezi mchagua mtu ASIYEUZIKA NDANI NA NJE YA CCM...kawaasa, nyakati zimebadilika, mkiambiwa hamkubali, akili ya team yako mgando, mlidhania CCM ikimpitisha tu mgombea atakuwa Rais..hilo ni OUTDATED...!!! Sasa ni CCM Lowassa tu.., hutaki, nenda Burundi...!!