Unasema!!!, Hakika Magamba mbowe mnamkubali kiaina, bado Hamm dada, Simiyu yetu, Ritz chiz, GSU na nyau wengine wanaosuport mafisadi.Kwa hili Mbowe yupo sahihi
itakuwa mashindano ya kupiga helaHebu tuangalie baraza la mawaziri la Edward Lowassa
- Waziri Mkuu Prof Juma Kapuya
- Waziri wa Sheria na katiba Andrew Chenge
- Waziri Nishati na Madini William Ngereja
- Waziri wa Uchukuji Nizar Karamagi
- Waziri wa jinsia na watoto Diana Chilolo
- Waziri wa Maliasili na Utalii. Mgana Msindai
- Waziri wa mambo ya ndani Hamis Mgeja
- Waziri wa Ujenzi Peter Serukamba
Hebu tiwe serious Watanzania, kwa baraza hili la mawaziri unategemea nini? Be the Juror Yourself
....
Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi ambapo kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.
Hebu tuangalie baraza la mawaziri la Edward Lowassa
- Waziri Mkuu Prof Juma Kapuya
- Waziri wa Sheria na katiba Andrew Chenge
- Waziri Nishati na Madini William Ngereja
- Waziri wa Uchukuji Nizar Karamagi
- Waziri wa jinsia na watoto Diana Chilolo
- Waziri wa Maliasili na Utalii. Mgana Msindai
- Waziri wa mambo ya ndani Hamis Mgeja
- Waziri wa Ujenzi Peter Serukamba
Hebu tiwe serious Watanzania, kwa baraza hili la mawaziri unategemea nini? Be the Juror Yourself
chama sio ofisi chama niwatuivi mbowe yeye ameweza kukumea ufisadi CDM kwa matumizi mabaya ya luzuku na michango ya wanachama i.e chama kupanga ofisi ya makao makuu kwa miaka zaidi ya 20
na rostam waziri wa fedhaWakati wa sakata la escrow angeweza kumsema swahiba wake na pacha mwenzake nyoka wa makengeza kweli?
Wakati anajua alikuwa akihemea kwenye fuko lao la kuhonga
Si ajabu chenge akaja kuwa PM baada ya EL kupata uprezida
Kwa hiyo anachofanya Lowassa lazima kiigwe na upinzani?kwani yeye Lowasa alipomtaja Mbowe juzi kwenye press conference inamaana anamuogopa? Tumia ubongo unapotoa post.
Na hiyo hiyo ndio hoja yangu, wapinzani wanajikita kuwaigiza, kuwajibu, na kufanya yale yanayochagizwa na yanayotokea ndani ya C.C.M.Tumia fikra kabla ya kuandika. Hao CCM mara ngapi wameongelea kuhusu wagombea wa UKAWA
Unapota kauli kwa umma huwezi kuchemka halafu ukasema "niliulizwa, ulitaka nisijibu." Kwa hiyo Rais Mbowe ama Rais Slaa akiulizwa na mwanahabari, Tanzania ina silaha za aina gani za kujihami na inazinunua wapi, atajibu halafu aseme niliulizwa ulitaka nisijibu? Hebu jifunze misingi ya public speech, usitetee jambo kinazinazi tu.Pia ,Mbowe aliulizwa hilo swali ulitaka akae kimya?
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.
Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.
Source:Tanzania Daima page no.5
Photo Fullname Party Name By this Mp
Lowassa Ngoyai Edward Chama Cha Mapinduzi
Questions(0)
Supplementary Questions (0)
Contributions(5)
Wakuu mimi nina mawazo tofauti kidogo,
Inawezekana kabisa Lowassa wa sasa ni tofauti na wa miaka ileee na inawezekana pia na yeye leo ufisadi unamkera kama unavyokukera wewe na ameshagundua kuwa ndio utakaomfanya akose urais lakini anashindwa aanzeje kuukemea.
Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi ambapo kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.
Huna uwezo wa kujieleza una neno moja tu, pumba!Pumba tupu.
Huna uwezo wa kujieleza una neno moja tu, pumba!
Eti Lowassa kafanya kwa hiyo upinzani nao ufanye, mnamuiga Lowassa? Don't be ridiculous, ndio matatizo ya kupenda kitu ama chama kinazi nazi tu, unakosa uwezo wa kufikiri.
ukiwa kiongozi ndio utajua ukawa ni wazush xana. bora lowasa
Sijamuunga mkono Lowassa, in fact nimesema "anaakisi mambo yanayowachukiza watu..."Ukimuona mtu anamuunga mkono Lowasa ujuwe kuna mambo mawili 1. Anategemea kunufaika na uongozi wa Fisadi Lowasa yeye binafsi . (2) kundi lapili ambao ndio wengi ukiwa wewe ni mmoja wao ni bendera fuata upepo yani watu wajinga wasiojielewa basi tu kwa ushabiki wa kipumbavu.