Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
ivi mbowe yeye ameweza kukumea ufisadi CDM kwa matumizi mabaya ya luzuku na michango ya wanachama i.e chama kupanga ofisi ya makao makuu kwa miaka zaidi ya 20

Kupanga ofisi sio lazima iwe ufisadi,inawezekana jambo hilo sio priority ya chama chao.
 
Jamani hebu tuweni wakweli tuwache ushabiki mandazi, Mbowe kwa Lowassa ni sawa kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

Kwanza elimu za hawa watu ni kipimo tosha.

Dr.Slaa mwenyewe akimfikilia Lowassa presha inapanda ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi ya Lowassa.
Hizi ni dalili za mtu aliyeanza kula hela za bwana Lowasa.jitahidi kuokoa jahazi mnaweza kufanikiwa.
 
Mbowe ni mwizi sana, ana ghorofa la kutisha DUBAI...!!!

Mbowe kaweka billions Uswiss....!!!

Mbowe ni dictator CDM, ukitaka ushindane nae kidemocrasia cdm kuwania uwenyekiti, utafukuzwa cdm na kuitwa msaliti, eg ZITTO...!!!

Mbowe m.alaya mkubwa, mbunge wa Arusha mjini vitu maalum JOYCE MUKYA, hadi kazaa nae, kamfanya mke wake kabisa, na alimkatisha safari ya kibunge, akamwita DUBAI KTK HEKALU LAKE WAKAFANYA UZINZI wa kila aina, hadi mimba...huyo ndio Mbowe, yaani Joyce alikatishwa safari ya kibunge ya Dominica Republic na kumwita Dubai kuvuana nguo, kufanya ufuska...see pictures..

CDM ni chama cha KIFAMILIA, Mbowe kaoa binti ya Mtei, Mtei ndio founder wa CDM, yaani ndio BABA WA TAIFA KWA CHAGADEMA.... hapo kuna Democrasia...Zitto anajua mengi, kaaumia sana...Dr Slaa nae mzinifu tu like Mbowe, kaiba mke wa mtu, ni wale wale, na kutelekeza mke Rose kamili wake na watoto wake... wote mafisi...

Mbowe sio hata wa kum quote, very arrogant...!!! Anamhofia sana Lowassa sbb anajua shughuli yake na anavyokubalika...atashangaa mafuriko ya CCM thru Lowassa 2015...

Na Mbowe katoa haya maneno baada ya Lowassa kusema hatoki CCM, sbb alitegemea aende UKAWA...sbb Lowassa kaweka wazi hatoki CCM, Mbowe kachanganyikiwa...sbb hawana mgombea Urais UKAWA anayekubalika hata robo ya Lowassa wa CCM...!!!

Umeandika Ki Pashkuna sana.
Utakuwa Uko Desperate kwa kutalikiwa na Mumeo, sio Bure
 
DSC03000.jpg
 
Jamani kwa nini mnadhani Lowasa anaweza kutamka neno fisadi? ukweli ni kwamba halipo kwenye kamusi yake kwa maana hiyo msitegemee akatamka kwani neno fisadi ni jina lake la pili au la ubini
 
Jamani hebu tuweni wakweli tuwache ushabiki mandazi, Mbowe kwa Lowassa ni sawa kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

Kwanza elimu za hawa watu ni kipimo tosha.

Dr.Slaa mwenyewe akimfikilia Lowassa presha inapanda ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi ya Lowassa.

Ritz,
Kwa mchango wako huo Taifa limefaidika vipi "technically"?
Tupeni faida za kuendelea na status quo....sio ku-personalize na kuvilify watu badala ya hoja. Lowassa (zamani hata sasa) anatufaa vipi? Kwa nini unadhani yeye ni chaguo bora tofauti na Dr. Slaa? toa hoja.

Kama Dr. Slaa atasimama na kuwa Rais nina hakika atapambana na rushwa na ufisadi awali ya yote. CCM haina mtu wala uwezo wa kupambana na rushwa wala ufisadi.
Ziko ngojera za Lowassa kufukuza/kuwasimamisha baadhi ya watendaji wa serikali wakati akiwa PM lakini hiyo ni "a tip of iceberg".
Ziko ngonjera za maamuzi magumu; kama yepi? kwa faida ya nani?

Lowassa is both individually and collectively inept and unfit to be our president now & forever!
 
Acha kujidhalilisha na wewe , Lowassa ndio aliyesaini MOU na kanisa kuwakandamiza waislamu , leounampigania akiwa rais si atasaini makubwa zaidi ? Mbowe kamchana Lowassa , kilio Lumumba yote ....
Na wakati huo Padre Slaa alikuwa kiongozi wa baraza la Maaskofu.

Unataka nimfuate Padre Slaa?

Punguani kweli wewe.
 
Lowassa akiwa Rais akasimama jukwaa akikemea rushwa watu watakauka kwa vicheko na mishangao! Itabidi rushwa ihalalishwe tu kwny taasisi za umma maana Rais mwenyewe ndio fisadi #1 ???
inabidi ccm na serkali yake ilete mswada wa dharura bungeni kuhalalisha rushwa
 
Yote uliyoandika tunayafahamu. Njoo na mengine


Wee listen mm naandika all truth...sio kama ww unaleta umbea na uongo kama Nyoka la ndimu, wala hamuuziki...

Mengine ni haya...

Membe wako hafai, muongo kama ww..!!

Mbowe ni Lover boy tu, wa kisiasa na jamii, Juzi bungeni, just 9 days ago, Mbowe huyu huyu, kasema Lowassa ni safiii, na kiongozi wa kuigwa, na kusema Richmond Lowassa hakuchukua hata shilingi, ni makundi adui ndani ya CCM yaliwajibisha kutaka Uwaziri Mkuu, akaendelee kusema, Bunge lilipotoshwa kuhusu Richmond, ila Lowassa kwa KUONYESHA UKOMAVU WA KISIASA, UONGOZI BORA NA DEMOKRASIA ya hali ya juu aliwajibika kutokana na watumishi wa chini yake, huyu ni mfano wa kuigwa...Huyo ni Mbowe, juzi akiwa Bungeni...!!! Huku Tv zikimuonyesha na baada ya hapo Ole Sendeka akafuata akasema, Kama kuna mtu nchii hii itamkumbuka kwa uamanifu, ujasiri, utendaji kazi imara ni Lowassa, kuhusu Richmond alikuwepo ktk kamati hata kamati iliweka wazi hakuchukua hata senti tano, kila mtu anajua...huyo ni Ole Sendeka...

Sasa ww leo Mbowe, lover boy, anasema haya kama nani..!!? eboo...kasahau juzi tu alimpongeza Lowassa kama mfano wa kuigwa...Sbb ni MOJA TU....LOWASSA KAWACHOMOLEA KWENDA UKAWA....hili ndio jibu, Mbowe kaona DILI LAKE LIMEBUMA, kawa frustrated, MAANA WANAJUA LOWASSA ANGEENDA UKAWA, CCM INGEKUWA HISTORIA....hili liko waziii....UKAWA wamekaa kimyaa walingojea CCM wamteme Lowassa wamchukue kilaini, sasa dili chaji, ndio maana Mbowe alijipinda bungeni kumpongeza sana Lowassa juzi tu....

CCM mbona issue ndogo sana hii kui handle, na kumwacha Lowassa awe Rais, na CCM itatawala, CCM inajua siasa za kistaarabu, kihuni na kisasa, sasa UKAWA hawakujua hili, CCM haiwezi kuacha CHAMA KIFE sbb ya chuki binafsi, kamwe, na mambo ya kipuuzi hatutaruhusu tumkose RAIS BORA, KIPENZI CHA WATU...hii ndio CCM..!!!

Sisi tunaona ya jikoni, nyie someni magazeti...They are newz makers and news readers...!!!

Halafu, ww mwanamke player...Kuhusu mtu wako nyoka la mndimu, sahauni...nendani mkafanye uongo wenu, JK kamawamaliza juzi..kasema wazi, CCM hakiwezi mchagua mtu ASIYEUZIKA NDANI NA NJE YA CCM...kawaasa, nyakati zimebadilika, mkiambiwa hamkubali, akili ya team yako mgando, mlidhania CCM ikimpitisha tu mgombea atakuwa Rais..hilo ni OUTDATED...!!! Sasa ni CCM Lowassa tu.., hutaki, nenda Burundi...!!
 
Hahaha! Tunaanza kusafiri pamoja kwa masilahi mapana ya nchi yetu.

yani kuna Vita Kali kati ya wapambe wa Membe na Lowassa inasemekana wakini Lizabon wapo chali wana toka tu jasho kwenye meno yani wamezidiwa kabisa.tena kigogo wao nibayiri sana kwasa wakina Lizabon wanakunywa tu uji na mtchicha.ushauri if cnt beat them jisalimishe tu & join thm karibu kwa E.L au UKAWA Liz.
 
Kwani haya sio maneno yako? "Mbowe kakasirika sana Lowassa aliposema mimi siami CCM kwa akili ya Mbowe alikuwa anajua Lowassa atakuja Ukawa"

Ritz ni mswahili mchekeshaji wa JF
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom