Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
Hebu tuangalie baraza la mawaziri la Edward Lowassa
  1. Waziri Mkuu Prof Juma Kapuya
  2. Waziri wa Sheria na katiba Andrew Chenge
  3. Waziri Nishati na Madini William Ngereja
  4. Waziri wa Uchukuji Nizar Karamagi
  5. Waziri wa jinsia na watoto Diana Chilolo
  6. Waziri wa Maliasili na Utalii. Mgana Msindai
  7. Waziri wa mambo ya ndani Hamis Mgeja
  8. Waziri wa Ujenzi Peter Serukamba

Hebu tiwe serious Watanzania, kwa baraza hili la mawaziri unategemea nini? Be the Juror Yourself

Waziri wa uhamiaji Hussein Bashe.
 
Kweli Lowasa ni dhaifu kwa sababu hata ishu ya Escrow hakuwahi kuongea ili kuonyesha kama ana kerwa sasa ni Raisi gani huyo mtarajiwa. Kama anaumia anapoona umasikini wa watanzania kitakacho muongoza kama ni ile rasimu ya Warioba
 
Mbowe anakosea sana..muda huu ni wa kuimarisha chama chake na mgombea wao wa UKAWA sio muda wa kuanza kukosoa wengine..itafika october hapa ataanza kusema wameibiwa kura

lowassa bubu, kusema ukweli si kosa, leo imedhihirika, hata hotuba hawezi kutoa, kaandikiwa, hata kusoma hawezi
 
Wee listen mm naandika all truth...sio kama ww unaleta umbea na uongo kama Nyoka la ndimu, wala hamuuziki...

Mengine ni haya...

Membe wako hafai, muongo kama ww..!!

Mbowe ni Lover boy tu, wa kisiasa na jamii, Juzi bungeni, just 9 days ago, Mbowe huyu huyu, kasema Lowassa ni safiii, na kiongozi wa kuigwa, na kusema Richmond Lowassa hakuchukua hata shilingi, ni makundi adui ndani ya CCM yaliwajibisha kutaka Uwaziri Mkuu, akaendelee kusema, Bunge lilipotoshwa kuhusu Richmond, ila Lowassa kwa KUONYESHA UKOMAVU WA KISIASA, UONGOZI BORA NA DEMOKRASIA ya hali ya juu aliwajibika kutokana na watumishi wa chini yake, huyu ni mfano wa kuigwa...Huyo ni Mbowe, juzi akiwa Bungeni...!!! Huku Tv zikimuonyesha na baada ya hapo Ole Sendeka akafuata akasema, Kama kuna mtu nchii hii itamkumbuka kwa uamanifu, ujasiri, utendaji kazi imara ni Lowassa, kuhusu Richmond alikuwepo ktk kamati hata kamati iliweka wazi hakuchukua hata senti tano, kila mtu anajua...huyo ni Ole Sendeka...

Sasa ww leo Mbowe, lover boy, anasema haya kama nani..!!? eboo...kasahau juzi tu alimpongeza Lowassa kama mfano wa kuigwa...Sbb ni MOJA TU....LOWASSA KAWACHOMOLEA KWENDA UKAWA....hili ndio jibu, Mbowe kaona DILI LAKE LIMEBUMA, kawa frustrated, MAANA WANAJUA LOWASSA ANGEENDA UKAWA, CCM INGEKUWA HISTORIA....hili liko waziii....UKAWA wamekaa kimyaa walingojea CCM wamteme Lowassa wamchukue kilaini, sasa dili chaji, ndio maana Mbowe alijipinda bungeni kumpongeza sana Lowassa juzi tu....

CCM mbona issue ndogo sana hii kui handle, na kumwacha Lowassa awe Rais, na CCM itatawala, CCM inajua siasa za kistaarabu, kihuni na kisasa, sasa UKAWA hawakujua hili, CCM haiwezi kuacha CHAMA KIFE sbb ya chuki binafsi, kamwe, na mambo ya kipuuzi hatutaruhusu tumkose RAIS BORA, KIPENZI CHA WATU...hii ndio CCM..!!!

Sisi tunaona ya jikoni, nyie someni magazeti...They are newz makers and news readers...!!!

Halafu, ww mwanamke player...Kuhusu mtu wako nyoka la mndimu, sahauni...nendani mkafanye uongo wenu, JK kamawamaliza juzi..kasema wazi, CCM hakiwezi mchagua mtu ASIYEUZIKA NDANI NA NJE YA CCM...kawaasa, nyakati zimebadilika, mkiambiwa hamkubali, akili ya team yako mgando, mlidhania CCM ikimpitisha tu mgombea atakuwa Rais..hilo ni OUTDATED...!!! Sasa ni CCM Lowassa tu.., hutaki, nenda Burundi...!!

lowassa bubu, bado unabisha? lowassa dhaifu bado unabisha?hata wananchi wengi walikuwa hawamshangilii
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Si kubaliani na Mbowe Lowassa ni dhaifu na bubu kwenye kukemea ufisadi tu. Ni bubu na dhaifu karibia kwenye kila kitu.
 
Lowassa ni bubu wa kukemea ufisadi, ahsante Mwenyekiti.
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5

wanaomuamini Mbowe na viongozi wa chadema, wana akili kama za ng'ombe.
 
Sijamuunga mkono Lowassa, in fact nimesema "anaakisi mambo yanayowachukiza watu..."

Hoja yangu ni rahisi sana, inashangaza kwa CHADEMA kuanza kuongelea siasa za ndani za C.C.M. kuhusiana na kada mmoja wa C.C.M. ambae hata bado hajapewa tiketi ya kuwa mgombea wa C.C.M. CHADEMA hawana agenda inayojitegemea au hawana la kufanya zaidi ya ku respond kwa anachofanya na kusema Lowassa? Kama Lowassa ni dhaifu mngekaa kimya aje mumshinde, ni dalili dhahiri za kumuogopa!

Kwa taarifa yako ilikuwa ni Project Lowasa
 
Wapendwa Tanzania njema ipo wodini kwenye dakika za kuzaliwa.....

Mkiambiwa Mungu wetu ni mkuu tunamaanisha kila neno; hajawahi shindwa....

Mm nazidi kuongeza pambio na tenzi za rohoni maana wengi wenu mliishi kwa mazoea; habari mbaya kwetu sote ni kila fisadi aweke mambo yake sawa maana ni garika na sisi lazima tufike nchi ya ahadi.

Alamsiki tuonane October kwenye alleluja kuu!
 
Mleta uzi umetaja gazeti na ukurasa ila hujataja ni la tarehe ngapi...isije ikawa la mwaka jana wakati sasa hivi mambo yameshabadilika sana. Katika siasa hakuna rafiki/adui wa kudumu.
 
Kwenda zako usijipendekeze. Hatukutaki huku. Rudi huko huko magambani kwenu. Watu kama nyie ndio mmesababisha mpaka magamba kuwadharau watanzania kana kwamba hawana akili na hata ukiwasimamishia jiwe toka ccm watalichagua tu, ndio maana sasa wameamua kumsimamisha fisadi.
Leo hii unajifanya za makalioni zinekucheza! Mwehu wee!!!
Hatimaye CDM na UKAWA yaanza kuota magamba
 
hiyo kauli ilikua inasapoti ''over my dead body'' nani kama mbowe jamaniiiiii
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Kamanda vipi umeishanunua dodoki?
 
msilaum ububu wa lowasa chanzo chake ni kiburi;kisasi na woga ambao anamatch na aliempokea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom