Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
Ukitazama watia nia wote katika majimbo Tanzania bars kwa tiketi ya CDM 70% ni wachaga. Hakuna ufisadi makubwa Kama huu. Na mwenyekiti ameshindwa kuukemea.Salama ya CDM ni Dr. Slaa kuwa katibu mkuu wa chama. Nje yahapo chadema kingebaki kuwa chama cha mlima mweupe Tanzania.

Hata serikali sasa zingine inalegalega kutokana na hujuma zinazofanywa na wafuasi wa CDM waliopo serikalini. Je upinzani wazipataje hizi siri kama siyiokuvujishwa na walioko ndani wasiyoitakia mema serikali?

Ifahamike kuwa ACT uko juu na itakuwa na wabunge wengi kuliko CDM na CUF Rafiki wakubwa wa chama tawala watasimama tena nakuwa mwamba katika siasa za upinzani Tanzania.

Tusubiri tuone october
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
DSC03000.jpg
 
Ukitazama watia nia wote katika majimbo Tanzania bars kwa tiketi ya CDM 70% ni wachaga. Hakuna ufisadi makubwa Kama huu. Na mwenyekiti ameshindwa kuukemea.Salama ya CDM ni Dr. Slaa kuwa katibu mkuu wa chama. Nje yahapo chadema kingebaki kuwa chama cha mlima mweupe Tanzania.

Hata serikali sasa zingine inalegalega kutokana na hujuma zinazofanywa na wafuasi wa CDM waliopo serikalini. Je upinzani wazipataje hizi siri kama siyiokuvujishwa na walioko ndani wasiyoitakia mema serikali?

Ifahamike kuwa ACT uko juu na itakuwa na wabunge wengi kuliko CDM na CUF Rafiki wakubwa wa chama tawala watasimama tena nakuwa mwamba katika siasa za upinzani Tanzania.

Tusubiri tuone october
SEMA ACTCCM- USIZUNGUMZE SENTENSI NUSU NUSU,

HIVI MMPEWA ZILE MIL 700 kwa ajili ya awamu ya pili?
 
Mkuu OKW BOBAN SUNZU Ukweli ni kwamba KUB Bwana Mbowe kachelewa sana kumkana Lowassa ni vyema mashambulizi dhidi ya Lowassa yakaanza rasmi.Kuna kila dalili Lowassa kuitumia UKAWA kuwatisha CCM kwa faida zake za kisiasa.


Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
 
Last edited by a moderator:
Ukawa lazima ichukue hii nchi October...hakuna cha El wala bibiake wala nyoka yeyote mwenye makengeza msaka pesa za wanyonge waishio chini ya nusu dora......
 
Lowasa hana muonekano wa kuwa amiri jeshi mkuu labda awe security guard
 
Wakuu mimi nina mawazo tofauti kidogo,

Inawezekana kabisa Lowassa wa sasa ni tofauti na wa miaka ileee na inawezekana pia na yeye leo ufisadi unamkera kama unavyokukera wewe na ameshagundua kuwa ndio utakaomfanya akose urais lakini anashindwa aanzeje kuukemea.

Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi ambapo kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.

Mkuu apewe mda upi tena ili afunguke? Kumbuka hata alivyokuwa Waziri pia alikuwa bubu hv hv sasa maswal ya kujiuliza je? Tangu alipojiuzulu kwann alikaa kimya? Anakuja kuropoka wakat wa kuelekea kwa uchaguz mkuu?

Pili ni kwann aliita wahariri wa habar Nyumban kwake hapo mwanzo alikuwa wapi?
Ukiangalia hayo na kutafakari kauli ya Mh Mbowe iko sahihi kabisa huyo jamaa ni bubu na si ububu tu ni dhaifu sn.
 
Asante sana Kamanda Mbowe. Huu ndio uongozi thabiti ambao nchi inauhitaji. Kutolea kauli, msimamo na kuchukua hatua kwa mambo yoyote muhimu.

Nashukuru kuwa kwa sasa UKAWA na Watanzania tunajua tunachotaka na tunajua tusichotaka.
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Jamani hebu tuweni wakweli tuwache ushabiki mandazi, Mbowe kwa Lowassa ni sawa kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

Kwanza elimu za hawa watu ni kipimo tosha.

Dr.Slaa mwenyewe akimfikilia Lowassa presha inapanda ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi ya Lowassa.
 
Asilimia 20 ya wanaomuunga mkono Lowasa ni wapambe wa kununuliwa(hapa wengi wao ni watu wenye ushawishi kwenye makundi mbalimbali), Asilimia 20 ni matajiri na marafiki walioko kwenye genge lake, hawa washaona na kukubaliana watakavyonufaika kibinafsi na uongozi wake, Asilimia 60 ni bendera fuata upepo na wasiojielewa wamelaghaiwa na haya makundi yalonufaika, wanacheza ngoma wasioijua! MASKINI TZ NCHI YA WATU WASIOJITAMBUA!

Wanafanya hv ili akiteuliwa na chama chake rushwa huru kbs, kwel kama ccm wataamua kumsimamisha huyu bubu bac na sera zao lazima ziwe Rushwa Ruhusa popote pale, maana mtu anayeununua Urais kwa Rushwa ni balaa atawauwa Watz.
 
Lowasa sijui atawaambia nini watanania kuhusu kashfa za ufisadi juu yake Mbowe yupo sahihi kabisa alichosema Lowasa kama akiwa waziri mkuu alishindwa kukemea ufisadi na rushwa je akiwa raisi ndo ataweza?
watanzania wa leo siyo wale wa miaka 1995 ccm lazima watambue hilo kwenye mambo yenye faida kwa taifa tuweke itikadi ya vyama pembeni cc Pasco &@Lizabon
 
Last edited by a moderator:
walikua wanamsubiri lowasa kama atahamia upinzani,sasa aliposema hatahama ccm ndo wanampa mabango.
tutarajie wiki ijayo slaa akiteuliwa kugombea,kwani waliekua wanamgonja hana mpango wa kujiunga nao
 
lowasa ni vizuri akapumzika na kuendelea kupata pension yake ya uwaziri mkuu mstaafu japo hakustahili. watanzania masikini wa fedha lakini matajiri wa fikra hawako tayari kuona ikulu yao inamilikiwa na mapacha watatu kamwe. lowasa sio bubu tu bali hafai kwenye taasisi nyeti kama ya urais..
Baadhi Ya watanzania wakiwemo wabunge wetu wamejivika upofu na kuendeleza ushabiki Kuwa huyu bwana anafaa. Ni mwendelezo wa kutaka kufanya udalali wa mali za watanzania. Watanzania ambao bado hatujapofushwa na ufukara tu simame imara tumkatae huyu bwana na genge lake na ikibidi kama hiki chama kinaendelea kumpakata Nacho tukifute Kwenye uso wa nchi yetu. Hongera kamanda mbowe. Ila si Kwamba ni u bubu bali si kipaumbele chake. Watanzania kwa sasa kipaumbele chetu namba moja ni rushwa iliyoasisiwa na hilo genge akiwemo yeye
 
Mbowe ni mwizi sana, ana ghorofa la kutisha DUBAI...!!!

Mbowe kaweka billions Uswiss....!!!

Mbowe ni dictator CDM, ukitaka ushindane nae kidemocrasia cdm kuwania uwenyekiti, utafukuzwa cdm na kuitwa msaliti, eg ZITTO...!!!

Mbowe m.alaya mkubwa, mbunge wa Arusha mjini vitu maalum JOYCE MUKYA, hadi kazaa nae, kamfanya mke wake kabisa, na alimkatisha safari ya kibunge, akamwita DUBAI KTK HEKALU LAKE WAKAFANYA UZINZI wa kila aina, hadi mimba...huyo ndio Mbowe, yaani Joyce alikatishwa safari ya kibunge ya Dominica Republic na kumwita Dubai kuvuana nguo, kufanya ufuska...see pictures..

CDM ni chama cha KIFAMILIA, Mbowe kaoa binti ya Mtei, Mtei ndio founder wa CDM, yaani ndio BABA WA TAIFA KWA CHAGADEMA.... hapo kuna Democrasia...Zitto anajua mengi, kaaumia sana...Dr Slaa nae mzinifu tu like Mbowe, kaiba mke wa mtu, ni wale wale, na kutelekeza mke Rose kamili wake na watoto wake... wote mafisi...

Mbowe sio hata wa kum quote, very arrogant...!!! Anamhofia sana Lowassa sbb anajua shughuli yake na anavyokubalika...atashangaa mafuriko ya CCM thru Lowassa 2015...

Na Mbowe katoa haya maneno baada ya Lowassa kusema hatoki CCM, sbb alitegemea aende UKAWA...sbb Lowassa kaweka wazi hatoki CCM, Mbowe kachanganyikiwa...sbb hawana mgombea Urais UKAWA anayekubalika hata robo ya Lowassa wa CCM...!!!

utaongea yooote uliyojaza kwenye ubongo wako lkn jibu lako ni HATUIACHI CDM, NA UKAWA NDIO SULUHISHO LETU.
wakisimamisha hata VIMA tutapiga kuyakubali😛eace:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom