Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
Mkuu wangu makamanda wanaogelea kwenye matapishi yao bila dodoki.

Teh teh teh


mtani Ritz,

naona wiki hii unapata burudani ya bure bila kuilipia jinsi makamanda wanavyoleta vituko.

haya mambo ya chadema, hata bongo muvi hawaingii ndani.maana wanauvaa uhusika haswaa.

jitu hata mwezi haujaisha lilikuwa limekoaa mishipa ya shingo kumuita Lowassa Fisadi, leo hii linamuita kamanda,mkombozi wa CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sina mpango wa kununua dodoki, acha nibaki kuwa mtazamaji na hii movie,siwezi kuwa Kanumba leo ume-act mtu mzuri kesho ume-act katiri. ila natabiri aibu kubwa itavunwa
Hivi Dr Slaa alikuwa wapi jana? Sikumuona.
 
Sasa km kweli yy msafi vp kuhusu kupigia kura ktb pendekezi au atasema alilazimishwa
 
rangi halisi ya chadema imedhihiri.
Ni chama cha maslahi, ulaghai na hakina misingi kinayo isimamia.
 
KENYA PIA AMERICA KUNA KITU KWENYE TV KIITWACHO TRUTH METER.
mm nimeamua kumpitisha kwenye truth meter.
. LOWASA NI UKWELI HAWEZI KUJIELEZA. mara nyingi anapenda kusoma prepared speech,believe me lini ulimuona LOWASA akichangia bungeni tuseme ukweli.
LOWASA HAWEZI KUJENGA HOJA. LOWASA atapigwa sana kama atashiriki presidential debate. ukiwa mgombea halafu ukoweak katika kujenga hoja lazima utapwaya.
LOWASA PHYSICALLY YUKO WEAK. kwa wale waliofatilia mkutanowake kule aruscha msaidizi wake alimwambia acheze kidogo na tukio lilikua live so tuliona. pia juzi wakati wanashuka jukwaa juu alionekana anashuka kwa uangalifu ili asijedondoka
.LOWASA HAJUI SLOGAN ZA UPINZANI mfano anatumia maneno WATAISOMA NAMBA msemo wa CCM. kiongozi makini angejikita na slogan za upinzani l
ntaleta zingine baadae.......
 
Mpelekee Mamayako Ili Akusimulie Vizuri Uimara wa Rais Mtalajiwa His exallency Hon Eddo Lowassa.
 
Ni mwepesi kama taulo za chooni Lowasa na atapigwa kabla jogoo hajawika
 
Dogo tulia dawa iingie
Mbona unafurukuta nyuma ya keyboard hata kabla ya august 22
 
Makufuli siyo dhaifu ameweza kutoa ahadi ya laptop kwa walimu na kusahau kuwa walimu wana madai yao madeni ya mishahara likizo,nyumba za walimu, wanafunzi kukosa madawati na kukaa chini ukosefu wa vyoo, nk.kweli magufuli ni DHAIFU sanaaaaa
 
Lowasa ni Gamba yule kuanzia damu, moyo, nafsi na fikra pia. Yupo huko tu kwa sababu ya mazingira yamemlazimisha kuwa huko. Kwan huoni hata magwanda yao hayataki? kwani huoni hata kusema piipoooz anajilazimisha tuu? hebu sasa mzikilize akiimba slogani ya magufuli ya aliselema alija, mwenyewe huona raha kama nini. sijui kama hawa bavicha wana habari hiyo. watajiju!
 
Kama kawaida ya watanzania kila kunapotokea jambo nilalotulazimu kujikumbusha wosia wa mpenwa wetu Nyerere hatuna budi kujikumbusha baadhi ya maneno yake ya busara kwa sababu ni kiongozi wa kitaifa anayeheshimika hapa Tanzania.

Pia kwa sasa hatuna budi kujikumbusha wosia wa Ndugu Mbowe kwa watanzania ili kuchagua kiongozi mzuri kwa maana ya utendaji, maadili na mwadilifu

Quotes;


"Wanajidanganya, Lowassa ni dhaifu sana. Amekaa serikalini zaidi ya miaka 30 na hakuna maendeleo yanayoonekana ndani ya serikali zaidi ya kila siku wizi na ubadhirifu kuongezeka," Freeman Mbowe.


"Hao wanaomtaka Lowassa ni wale wanaojua kuwa watanufaika binafsi akipita kwenye urais lakini kimsingi huyu jamaa ni dhaifu sana na hafai kuongoza Tanzania ya sasa yenye changamoto lukuki. Wapambe wake wanasema si msemaji bali mtendaji, hivi nani atakubali porojo hizo wakati tunajua akiwa Waziri Mkuu hakufanya lolote kukemea wizi, ubadhirifu na ufisadi? Richmond ilikuja akiwa wapi?," Mbowe.

"Sina ugomvi wala simchukii Lowassa binafsi, lakini ni vema hawa wanaosema ni mtu wa maamuzi magumu wakaueleza umma wakati watendaji wa serikali wakitafuna mabilioni ya fedha, CCM wakipitisha Katiba inayopendekezwa ya hovyo pale Dodoma wakitetea kwa wizi...yeye alisema au kufanya nini?," Mbowe.

"Huyu mtu yumo ndani ya mfumo wa ufisadi ulioiharibu nchi kwa takriban miaka 50 halafu mnataka kutuaminisha ni mchapakazi, tuwe serious jamani, nchi inahitaji mabadiliko ambayo yanapatikana UKAWA," Mbowe.

"Msipate shida, UKAWA ni kiboko ya Lowassa na CCM yake, ikifika Oktoba wananchi watuchague tuwakwamue kutoka hapa tulipo, haiwezekani miaka 50 sisi tungali maskini wa kutupwa ilhali tuna rasilimali lukuki," Mbowe.

"Sasa tutapambana na CCM jino kwa jino mpaka kieleweke, wao walikuwa wakishinda kirahisi kwa sababu walikuwa na wenyeviti wa vijiji, lakini sasa wataonja nguvu yetu,"
 
mimi sikujua kama hata kushika pen anatetemeka,pia hawezi kutumia kijiko...anyway! inshort edo hayuko fit physically and diplomatically kubeba majukumu ya uraisi,hata akishinda (a nightmare) anaweza kuishia njiani!! MTAZAMO TU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom