Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Una impact gan mkuu kwa serikali iliyopo madarakani ?Wewe ndo kila anachotaka ufanye unafanya but c mimi hapa and sitakuja kuwa mtumwa wa namna hiyo
naamini kwa matumizi yetu ya majina fake hapa jf ni ushahidi tosha kuwa huna uthubutu wa kupinga agizo lolote la serikali hadharani.