Mbowe, Lowassa kuwanadi wagombea wa CHADEMA nchi nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe, Lowassa kuwanadi wagombea wa CHADEMA nchi nzima

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Molemo, Nov 10, 2017.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2017
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Chama cha CHADEMA leo kimetoa ratiba ambayo itatumika katika kampeni za udiwani katika kata 43 kwa kipindi kilichosalia mpaka siku ya uchaguzi.

  Ratiba hiyo inaonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ataongoza kampeni hizo akishirikiana na viongozi wengine akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.

  chadema.PNG
   
 2. a

  assadsyria3 JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2017
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 6,663
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  huyu Mzee sasa apumxike ,aandaliwe lissu for president
   
 3. chuma cha mjerumani

  chuma cha mjerumani JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2017
  Joined: Dec 4, 2013
  Messages: 4,305
  Likes Received: 5,573
  Trophy Points: 280
  bampa to bampa magu tumbo joto.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2017
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pole sana.Endelea kuota
   
 5. Renzo Barbera

  Renzo Barbera JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2017
  Joined: Dec 8, 2015
  Messages: 297
  Likes Received: 826
  Trophy Points: 180
  Kipenzi cha watu
  [​IMG]
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2017
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nchi itatikisika
   
 7. Dreka

  Dreka JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2017
  Joined: Oct 27, 2017
  Messages: 347
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Mbowe kama mbunge ile sheria ya kutofanya shughuli za kisiasa nje ya jimbo lako haimuhusu ?
   
 8. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 42,845
  Likes Received: 22,190
  Trophy Points: 280
  CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
   
 9. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 42,845
  Likes Received: 22,190
  Trophy Points: 280
  Hakuna sheria kama ile Tanzania , ule ni utaratibu wa KISHAMBA wa Jeshi la polisi kwa lengo la kuilinda ccm .
   
 10. Dreka

  Dreka JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2017
  Joined: Oct 27, 2017
  Messages: 347
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Kama sjakosea nadhan ile ilikuwa moja ya Presidential decree. Sasa iliwahi kubatilishwa?
   
 11. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 42,845
  Likes Received: 22,190
  Trophy Points: 280
  Hakuna rais yoyote duniani mwenye nguvu kuliko wananchi .
   
 12. Dreka

  Dreka JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2017
  Joined: Oct 27, 2017
  Messages: 347
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Nje ya Tanzania sawa

  Ila kwa Tanzania, Magufuli ana nguvu kushinda watanzania wote.
   
 13. MZEE MSASAMBEGU

  MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2017
  Joined: Apr 19, 2013
  Messages: 2,128
  Likes Received: 1,737
  Trophy Points: 280
  Ananguvu ipi kupita watanzania wote??
   
 14. Mwanahabari Huru

  Mwanahabari Huru JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2017
  Joined: Mar 9, 2015
  Messages: 10,988
  Likes Received: 15,217
  Trophy Points: 280
  Kuna watu hii kitu inawauma sana maana kila wakitaka kik inakuja kwa pikipiki wanabaki kuropoka majukwani nakukoroma kamavile wamepigwa stata ya sehemu isiyo sahihi
   
 15. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 12,943
  Likes Received: 18,213
  Trophy Points: 280
  Chadema wamefuata ushauri wa 'Da Mange'
   
 16. Dreka

  Dreka JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2017
  Joined: Oct 27, 2017
  Messages: 347
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Kila analolitaka tufanye tunafanya, tunachoweza ni kumpinga kwa maneno lakini kwa matendo ni sifuri.
  nadhan unajua kwamba watanzania ni waongeaji sana kupita utendaji
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Nov 10, 2017
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,971
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Hayaaaaaa hayaaaaaaaa..... ngoma hiyo mambo yameivaaaaa.... Asante CHADEMA asante viongozi.

  Maccm lazima yajikojolee safari hii
   
 18. Imvubhu

  Imvubhu Senior Member

  #18
  Nov 10, 2017
  Joined: Aug 27, 2017
  Messages: 120
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  sheria ipi mkuu? . kifungu kipi, tujuzane. nadhani ni katazo tu sio la kisheria.
   
 19. MZEE MSASAMBEGU

  MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2017
  Joined: Apr 19, 2013
  Messages: 2,128
  Likes Received: 1,737
  Trophy Points: 280
  Wewe ndo kila anachotaka ufanye unafanya but c mimi hapa and sitakuja kuwa mtumwa wa namna hiyo
   
 20. Dreka

  Dreka JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2017
  Joined: Oct 27, 2017
  Messages: 347
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Tangu magufuli akataze kufanya mikutano ya kisiasa nje ya jimbo la mbunge husika, kuna mbunge aliwahi kuthubutu kwenda kinyume na amri hiyo ?
   
Loading...