Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

Pigia mstari na sakata la Zitto Kabwe ndo utapata majibu ya behind the tragedy,huu ni Purely uhafidhina,chadema tunakosa Democracy kwa tamaa za Mbowe

Huyo Zitto badi tu mnaendeleza hoja zake. Keshapotezwa huyo.
 
Story kama za LEMA hizi. anusurike kuuwawa kwa lipi hasa? anamtishia nani? mtu mwenyewe hata hoja hajui kuzipanga, hata elimu ya kushindana kwenye nyadhifa mbalimbali hana, yeye ashukuru baba mkwe wake amempa huo ulaji.

div. 5 hii,,, hakuna atakaekushangaa.,,
 
Kwanza CDM tunafanya uchaguzi wa nini wakati tunajiandaa na uchaguzi mkuu mwakani!!???
Tufanye tu huku kwenye ngazi za chini, kule juu acha hivyohivyo majembe yaliyopo yanatosha.
 
hivi ni lini mbowe atatuachia chama chetu? kwa nini anang'ang'ania uenyekiti wa chama chetu? mbowe tuachie chama chetu tumekuchoka.....!
 
Kama chama bado ni kichanga kwanini kinataka kipewe nchi?

Mbowe atapita bila kupingwa maana zitto hayupo.

Mbowe ni muoga sana hakika.

Hata hivyo uenyekiti wa chadema ni wa mbowe milele hakuna cha kuwania.

Hivi TANU kilipewa nchi kikiwa na umri gani? Next time tumia akili ulizopowa na Mwenyezi Mungu
 
mbowe chadema sio mali yako ni mali ya watanzania tuachie sisi wanachama tuchague viongozi tunaowataka....tunataka damu changa inayochemka...ni muda wako wa kupumzika na kuwa mlezi wa chama
 
In life when you feel obliged by someones gratitude to a level that makes you think you would never attain what you have without them, you become indebted to them. In africa, most are indebted to their Parents, families, uncles, aunts or relatives who in someway made them what they are.

The worst thing is to turn this against you, especially when you have to do what's right.It is a very tough call, being against a person who made you who you are.I won't blame kina MDEE for submission its the order of business, and they do seem gutless to change that.

But as a matter of assessment, that's one mark of integrity chart taken from them. In mafia Italy, the mafioso bosses were actually very loved by their community, but that didn't make them good people. And most people did not act againts them because, well, everyone was indebted to them.

For this i hav eto say kudos to Mbowe, Game well played.
 
Story kama za LEMA hizi. anusurike kuuwawa kwa lipi hasa? anamtishia nani? mtu mwenyewe hata hoja hajui kuzipanga, hata elimu ya kushindana kwenye nyadhifa mbalimbali hana, yeye ashukuru baba mkwe wake amempa huo ulaji.

we mwenye elimu unakisaidiaje chama chako, au ndo kushinda toka asubui ktk hii forum tu
 
Huu ulafi wa madaraka wa Mbowe sasa umepitiliza yaani jamaa hataki kukubali kabisa kwamba ukomo wake wa kiuongozi ndio umekomea hapo na hakuna jipya atakalolileta ndani ya Chama,Mbowe hataki kuamini kuwa Chadema sio kichanga tena Chama kimeshakuwa sasa na kina Makada wengi wenye uwezo mkubwa wa kuongoza kushinda hata yeye sasa kwanini hataki kuwapa nafasi na wengine wagombee?Halafu kwakweli hakuna kitu muhimu kama elimu ya juu kwasababu inapanua upeo wako wa kufikiri na kuyatafakari mambo kabla ya kuyaongelea au kuyatenda.Ebu mwangalie Mbowe anasema hawezi akakiachia Chama sasa kwasababu bado ni kichanga,Je aliwahi kufikiria Makada wengine watajisikiaje pale wanapoonekana hawaaminiwi na yeye wazi wazi si watajiona kama hawana thamani yoyote katika Chama na hii ndio sababu migogoro Chadema haitakoma kwasababu Mwenyekiti haoni kama wengine wana haki ya kugombea nafasi yake.Hii ndio Demokrasia ambayo amekuwa akiipigania katika majukwaa ya kisiasa wakati yeye mwenyewe anaikandamiza katika Chama chake?Kweli Mbowe?
 
Mtu asiye kubaki kuachia madaraka ki katiba katika taasisi, je! Akipewa nchi ataachia madaraka kweli?
Au ndo tutakuwa tumepata Ghaffi mpya Tanzania.
Na je! Akitokea kuwa raisi First Lady atakuwa nani?
 
mbowe atosha....r.i.p mchumia tumbo mzee wa kuongwa na kina mwigulu.
 
Go Mbowe. Wewe ndiye nwenyekiti pekee wa chama cha siasa/upinzani hajakubali kupokea mlungula wa kukimaliza chama.
 
Mtu asiye kubaki kuachia madaraka ki katiba katika taasisi, je! Akipewa nchi ataachia madaraka kweli?
Au ndo tutakuwa tumepata Ghaffi mpya Tanzania.
Na je! Akitokea kuwa raisi First Lady atakuwa nani?

Mkuu Mbowe atakuwa lifetime mwenyekiti au mpaka afikie uzee kama wa Mandela (r.i.p) au Fidel Castro. Hababaiki huyu mkuu. Na imagine saliti ZZK angekuwa mwentekiti. Ingekuwa sawa na panya kumwachia nafaka stoo. Atamaliza viini vyote!!!! Vivyo hivyo kwa ZZK.
 
Yaani Mbowe amekuwa kiongozi imara afrika na ameongoza 2012/2013. Amekipitisha chama salama kwenye mambo mazito kama ya ughaidi, mabomu, kuwashughulikia wasaliti na masalia, kuhimili vitisho na vipigo vya dola, kesi za kubambikiwa na mengine mengi tu. Du na bado ni imara. Go Mbowe.
 
Story kama za LEMA hizi. anusurike kuuwawa kwa lipi hasa? anamtishia nani? mtu mwenyewe hata hoja hajui kuzipanga, hata elimu ya kushindana kwenye nyadhifa mbalimbali hana, yeye ashukuru baba mkwe wake amempa huo ulaji.

Huyu kapewaxukahi na nani ?
 
Attachments

  • 1391196259271.jpg
    1391196259271.jpg
    48.1 KB · Views: 62
Story kama za LEMA hizi. anusurike kuuwawa kwa lipi hasa? anamtishia nani? mtu mwenyewe hata hoja hajui kuzipanga, hata elimu ya kushindana kwenye nyadhifa mbalimbali hana, yeye ashukuru baba mkwe wake amempa huo ulaji.

Mkuu,
Wewe elimu yako ni ipo?Umefanya nini cha maana zaidi ya ku-comment JF kwa kutumia feki ID?
Au wewe 'MSOMI' ndiyo yule kiongozi wa Lumumba buku 7?

Ama kweli, wewe UMESOMA!?
 
Back
Top Bottom