Wewe unayeshabikia ujinga kama huu ni timamu?
Mkuu hauko timamu
Wewe unayeshabikia ujinga kama huu ni timamu?
The best hon f.a. Mbowe , mtz wa ajabu kupindukia ! Pamoja na kumiliki utajiri wa zaidi ya hela ya madafu 1.2 tr lakini bado anapigania ukombozi wa nchi !
Labda kwa faida yako na wengine wa aina yakohuo utajiri umetokana na lile danguro lake la billcanas?
Labda kwa faida yako na wengine wa aina yako
Ni kwamba mh mbowe ni mwekezaji wa kimataifa ,ni kama hawa wachina mnaowauzia nchi !
The best hon f.a. Mbowe , mtz wa ajabu kupindukia ! Pamoja na kumiliki utajiri wa zaidi ya hela ya madafu 1.2 tr lakini bado anapigania ukombozi wa nchi ![/QUOTE
Tanzania kuna billionea mmoja tu Rostam Aziz, hao wengine mnawatoaga vyanzo gani? Make ninavyojua Mbowe hata kwenye orodha ya matajiri 100 hapa bongo hayumo.
Au mnamuhesabia kwa hela za zimbabwe?