Mbowe kutikisa Viwanja vya Kware Jumapili hii

Masikio ya Sabaya yote yatakuwa kwenye huo mkutano, anamvizia Mbowe aseme tunataka tume huru wamkamate kwa uchochezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria kuwa hotuba za wapinzani zinavyopendwa na wanaCCM,wanawatuma agents wao kurekodi zote ili wafanye references za kilichoongelewa.Uzuri ujumbe unawafikia bila chenga.
Wapinzani ni watetezi wa haki,ukweli na uwazi,mambo haya ndiyo yanawafanya waendelee kupata uungaji mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…