Mbowe kugombea ubunge Hai 2010

Yaani Slaa tena awe raisi. Si Itakuwa balaa. UKATOLIKI MTUPU HAPO na nchi itakuwa ya Kikatoliki kama ilivyokuwa wakati wa JKN. kwani yeye alikuwa katibu wa TEC.

Watanzania tumwangalie sana Slaa huyu.

Mkuu si uliaga hapa unakwenda Meccah na Meddina sasa imekuwaje mkuu
 
Nataka naMrema akagombee Temeke au Moshi,CCM ni chama weak sana kama Slaa na kabwe waliweza kuwapelekesha itakuwaje kama tukiwa na wabunge kama 15 wenye akili ya kina sla na kabwe..CCM wanaweza kupigwa nje kwa kuanzia bungeni kuanika uchafu wao!
 
Yaani Slaa tena awe raisi. Si Itakuwa balaa. UKATOLIKI MTUPU HAPO na nchi itakuwa ya Kikatoliki kama ilivyokuwa wakati wa JKN. kwani yeye alikuwa katibu wa TEC.

Watanzania tumwangalie sana Slaa huyu.

Alhaj Hafif punguza jazba.

Dr Slaa bado hajatosha kugombea U Rais. anahitaji muda kidogo kupata uzoefu.
 
Kanda2,
Mkuu sii dhambi kuwa Chadema, kwani CUF wao wana nafuu yoyote?..si hao hao wabangaizaji na waviziaji ruzuku za chama...
Haya kuna mzembe mwingine asema ati hajali kama tumemwomba Mbowe wakati huo huo anahoji kaombwa na nani?.. na muulizeni mambo ya kizamani ndio yapi hayo!

Binafsi, maadam hili limeshatoka siwezi pendekeza Mbowe agombee urais mwaka 2010 kwani hakuna ushindi dhidi ya JK kwa kutumia lungu lilelile la mwaka 2005. Kikwete atamalizwa ndani ya chama ikiwa kutaonekana dalili za ushindi nje ya CCM..

Hapo ndipo utaona kuchanganyikiwa kwa wanaCCM kwa sababu hivi sasa CCM haina kiongozi.. Maadam mwalimu Nyerere kaondoka, na hakuna Mtanzania anamheshimu Mkapa, huyo Mwinyi kesha pigwa mbata na hata mtoto wa uswazi...CCM ni chama yatima sasa hivi na hakika naomba Mungu kila siku vyama vya Upinzani vijipange nyuma ya mtu mmoja tu iwe Slaa au Salim ajitokeze. Hawa ndio washindani wa kweli ktk legue kuu ya JK, MBowe bado kijana mwaka 2015 anaweza gombea tena Urais baada ya......
 
Tanzania kama nchi nyingi zinazo tumia parliamentary system ni chama chenye nguvu na mara nyingi wananchi huchagua chama na si mtu. Sasa hata kama mgombea ni mzuri kiasi gani au maarufu kiasi gani kama chama chake hakina mizizi mingi kwa wapiga kura ni kazi bure. Ni sawa sawa na Kikwete pamoja na umaarufu wake wa mwaka 2005 ange gombea upinzani na mtu asiye julikana aka gombea kupitia CCM bado mgombea wa CCM angeshinda uraisi. Chama kina bidi kijijenge kwanza kisi kimbilie kurusha mizinga yake muhimu kwa wakati huu maana hiyo mizinga itapiga sifuri na watakua wame waste silaha muhimu.
 
Ushauri wangu ni kuelekeza zaidi nguvu kwenye kupata wabunge wengi zaidi wa upinzani Bungeni. Kwa sasa bado ni vigumu kuwa na rais anayetokea chama cha upinzani kutokana na mfumo wa chama kimoja uliodumu kwa muda mrefu na hivyo kuipa CCM miundombinu bora zaidi ya kuongoza serikali.

Tukiwa na wabunge wa upinzani wanaofikia theluthi moja ya idadi ya wabunge wote tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana!

Dr. Slaa tunamuhitaji zaidi bungeni, kwenda kugombea urais ni kama kumpotezea mwelekeo.
 
JAMANI MBOWE ANA SKANDALI YA KUTOLIPA KODI HAI. atakuwaje mbunge wakati yeye mwenyewe ni kikwazo cha maendeleo? Hana ujamaa wowote huyo, na hafai kuwa mbunge. Anajificha kwenye siasa ili afiche maovu yake. Asipolipa kodi, anahubiri siasa gani? Ni vile tu watendaji wetu wanatabia ya kumsetiri mtu, lakini jamaa walikuwa wamfilisi......
 
Yaani Slaa tena awe raisi. Si Itakuwa balaa. UKATOLIKI MTUPU HAPO na nchi itakuwa ya Kikatoliki kama ilivyokuwa wakati wa JKN. kwani yeye alikuwa katibu wa TEC.

Watanzania tumwangalie sana Slaa huyu.
Don't generalize bwana jisemee nafsi yako, na si watanzania.. we unamatatizo gani na wakatoliki? mi si mkatoliki lakini sijaona tatizo lao
 
Hawa Chadema nao wanapupa...walianza vizuri hawakuwa na haraka wala pupa ya mambo...kama watampeleka Slaa kwa wananchi ambao wanamjuwa Slaa lakini chama chake bado si maarufu katika maeneo ya wapiga kura wengi,Dr.Slaa anahitajika bungeni wakati utafika wananchi wenyewe...watamuhitaji awe kiongozi wao wa nchi...kama walivyofanya wanachi wa Karatu wakati ule alipopokwa tiketi yake na wananchi wakamtaka agombee kupitia chadema...si walimpa, chadema wasifanye papara...we need the guy in parliament.

''well said''
 
Back
Top Bottom