Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

Mwenyekiti kaomba "poo".....

Hii bagosha

Unawasikiliza kina Kamanda Asiyechoka shingoni:

IMG_20220304_154503_924.jpg


kuwa ndiyo wasemaji wake au wa CDM?

Mambo iko huku:



Tambua nia njema ya siasa za kistaarabu imekuwa ikipotoshwa na wanyoa viduku na wenye kutupia jezi za Yanga Afrika hawa:

IMG_20220305_151655_415.jpg


Kumbuka mama katamka ,hii nchi ni yetu sote.

Nani kama Mama?

Ishindwe na ilegee timu hii:

IMG_20220306_053509_333.jpg


Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unawasikiliza kina Kamanda Asiyechoka shingoni:

View attachment 2141601

kuwa ndiyo wasemaji wake au wa CDM?

Mambo iko huku:

View attachment 2141559

Tambua nia njema ya siasa za kistaarabu imekuwa ikipotoshwa na wanyoa viduku na wenye kutupia jezi za Yanga Afrika hawa:

View attachment 2141561

Kumbuka mama katamka ,hii nchi ni yetu sote.

Nani kama Mama?

Ishindwe na ilegee timu hii:

View attachment 2141564

Au nasema uongo ndugu zangu?




Mwenyekiti kaomba "poo".....

Hii bagosha



Itifaki imezingatiwa

Watu walizungumza sanaaa lakini akishazungumza mkuu mazungumzo yanakua yamehitimishwa na kufungwa rasmi
 
Kuna watu wakiona wapinzani wanafurahi hivi wakiwa kwenye jengo ambalo nao wanalihudumia kupitia kodi zao nya inagonga pichu, Bwana yule nadhani alipandikizwa na maadui ili kuvuruga amani ya nchi, mambo aliyokuwa anafanya siyo ya kitanzania kabisa, hivi vifuasi vyake uchwara vimebaki kutapatapa tu kwa ID fake....Ni heri njama zake zilitambulika mapema before hajaharibu zaidi.....

View attachment 2140712
Kuna watu watakonda sana Mwaka huu. Si kwa mapigo haya.

Juzi Ubelgija jana Ikulu.

team roho mbaya watafute kazi nyingine
 
Haya mambo wakati mwingine nikiangalia chanzo chake ni propaganda nyepesi za lumumba tu zinawayumbisha wasiojiamini.

Maneno kama Mbowe amesalimu amri, amenunuliwa, ni afisa wa TISS, na mengine ni vitu vya kuchekesha sana.

Kila mtu anafahamu msimamo wa Mbowe akiwa gerezani mpaka alipotoka, nani waliomtoa na walimtoa akiwa na msimamo upi, sasa pressure ya kuogopa mazungumzo inatoka wapi?

Oooh Mbowe ni TISS, sasa kama angekuwa mwenzao wangehangaika kumfunga kila wakati si wangempa maelezo tu afanye nini? na kwa kizazi hiki sio rahisi kuwadanganya wengi kwa wakati mmoja, atashtukiwa tu.

Mazungumzo muhimu yawepo, kuanzia hapo ndio ramani nyingine ianze kuchorwa, hapo ndipo mwanasiasa atakuwa na "guts" za kwenda kwa wananchi awaambie kwa upande wangu nilifanya moja, mbili, tatu, hawakujibu; sio kususa, unasusa halafu wananchi wakikuuliza ulifanya nini utawajibu kitu gani?

Kususa ni siasa za kioga, za wasiojiamini na waviziaji, wanaotaka kutumia kila jambo kwa manufaa yao binafsi badala ya manufaa ya watanzania kwa ujumla wao.
imekula kwao Team Lumumba roho mbaya fc
 
🤣🤣🤣

Wamemwagika na kumwagwa kutupia kila jambo hata kama la kijinga kutafuta pa kutokea.

La Mbowe limebuma wala isiwe taabu.

Tujenge nchi sasa. Kwenye ujenzi huo:

1. Katiba mpya
2. Hatima ya mikutano ya kisiasa
3. Kurejea kina Lissu
4. Mkutano na Mama kama chama

Kwetu ni vipaumbele.
 
Back
Top Bottom