Wazungu wanasema THAT IS PLAIN TRUTH hata usiposemwa.
Kwa wale wapenzi wa namba huwa tunasena namba hazidanganyi. Ukitaka kujua Kikwete ameimarisha CDM angalia namba hizi
- Wakati Kikwete anaingia madarakani CDM ilikuwa wabunge wangapi na sasa CDM inao wabunge wangapi
- Wakati Kikwete anaingia madarakani CDM ilikuwa na madiwani wangapi na sasa CDM inao madiwani wangapi
- Wakati Kikwete anaingia madarakani CDM ilikuwa na Wenyeviti wa mitaa/vijiji wangapi na sasa inao wangapi
Lakini kubwa zaidi wakati Kikwete anaingia madarakani CDM kilikuwa chama cha UPINZANI, wakati Kikwete atakapokuwa anatoka madarakani CDM kitakuwa chama TAWALA na CCM kitakuwa chama cha UPINZANI. Mungu ana mipango yake kumfanya Kikwete kuwa rais wa JMT, ingawa akina Mwakawago na Mangula walituonya katika dossier yao. Kikwete kuwa Rais wa JMT is a blessing in disguise.