Twendeni naye taratibu nguo zitaanza kubana mda siyo mrefu uelewa wa jk ni mpana sana kwenye mambo ya siasa mbowe hataamini matokeo yake.Mwenyekiti wa Chadema Mb Freeman Mbowe amemsifia raisi Kikwete kwa kusaidia kuimarisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chanzo; magazeti ya leo
Ukiisoma sentensi ya Mbowe kama ilivyo bila kujiongeza huwezi kuelewa ujumbe uliomo.Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.
Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.
Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.
Mwenyekiti wa Chadema Mb Freeman Mbowe amemsifia raisi Kikwete kwa kusaidia kuimarisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chanzo; magazeti ya leo
mwenyekiti wa chama kukiri mwenyekiti wa chama kingine kaimarisha chama chake, so Kikwete ndiye mwenyekiti wa chadema, bila yy chadema isingekuwepo.
tatizo la mbululaz wa lumumba ni uelewa mdogo... CHADEMA imeimarika sana kutokana naudhaifu wa ccm! ... waliobaki ndani ya ccm ni akina mahaba niue majambazi, mafisadi, malaya wa kisiasa, wasaka tonge, watekaji, wauaji, wahuni wafanya fujo, walevi, makuwadi, mashoga... JK anaelewa madhara ya kuiachia CCM madaraka ndiyo maana anazidi kuwakera wananchi kwa kutumia nguvu kubwa ya mijibwa ya ccm aka police kuwatwanga wananchi ...
Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.
Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.
Ukiisoma sentensi ya Mbowe kama ilivyo bila kujiongeza huwezi kuelewa ujumbe uliomo.
Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.
Sijui kama umeuelewa uzi,
Udhaifu wa mwenyekiti wa chama chako na chama kwa ujumla hadi serikali,umewafungua watanzania,wakione ccm katika picha yake halisi