Mbowe: Kikwete amesaidia sana kuimarisha CHADEMA

Mbowe: Kikwete amesaidia sana kuimarisha CHADEMA

Lumumba kweli wanajua kujitoa ufahamu,wanajifanya hawaelewi kama Mwenyekiti wao alikuwa anapigwa madongo na Mbowe.........Hilo ndio la ukweli hata baadhi ya Wana CCM wanakiri kabisa jk kuufanya upinzani kushamiri kutokana na udhaifu wa Serikali.
 
Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.

Na wewe nae? Hukupitia hata darasa la 2, 3? fungua parandesi basi, hiyo statement haitafsiriwi jinsi ilivyo. Na hapo si ajabu ni dokta wewe
 
kiongozi unaweza kuthibitishaje kwamba uelewa wa mh JK ni mpana sana kisiasa ? maana nikiangalia hata upande wa chama chake alipoingia madarakani na sasa anajiaandaa kung'atuka khali ya kisiasa hasa upande wa ccm sio nzuri .
 
Lumumba kweli wanajua kujitoa ufahamu,wanajifanya hawaelewi kama Mwenyekiti wao alikuwa anapigwa madongo na Mbowe.........Hilo ndio la ukweli hata baadhi ya Wana CCM wanakiri kabisa jk kuufanya upinzani kushamiri kutokana na udhaifu wa Serikali.

haikuwa kauli ya mzee wa chopa bali ni yakwako
 
kiongozi unaweza kuthibitishaje kwamba uelewa wa mh JK ni mpana sana kisiasa ? maana nikiangalia hata upande wa chama chake alipoingia madarakani na sasa anajiaandaa kung'atuka khali ya kisiasa hasa upande wa ccm sio nzuri .

haijalishi kwani hali haijawahi kuwa nzuri kama mlivyokariri
 
Kumbe ndio maana alimsujudia siku ile ...

mbowe_kikwete.jpg
 
kweli kabisa mkuu, chama kilikuwa masikini, kimejengewa uwezo kupitia mgao wa ruzuku hadi wanapaa angani na chopa!

Hot air! Kama ruzuku ndio kila kitu iweje watoa ruzuku wenyewe CCM na serikali yake washindwe kupaa kwa chopa; wakati ruzuku yao ni kubwa kuliko ya upinzani combined?! au ni Old age crisis na ukosefu wa mipango mkakati??!! Mtoa mada anamaanisha kwamba to every miss step ya CCM Under JK, wapinzani walichukua advantage kujiimarisha, kumbuka in a futzbal Game; One mistake costs a side one goal! I mean ONE Gooooooal; go go JK
 
naona kila mwana bavicha anatoa tafsiri yake, bora aliyesema uhuru wa vyombo vya habari ndio ulioisaidia cdm. Wewe cjui akili yako ni ya gongo au viroba!

Nikuulize hivi yule gamba mwenzako au buku saba mwenzako anayejiita CHAMA yupo wapi siku hizi?
 
Kujipendekeza kote nikajua umeukwaa ukuu wa wilaya.

swissme
Mimi sijipendekezi kwa mtu natetea Taifa langu pamoja na mamlaka halali iliyo madarakani.

Wewe ndio unajipendeza kwa Mzee Slaa.
 
Back
Top Bottom