Mbowe: Kikwete amesaidia sana kuimarisha CHADEMA

Mbowe: Kikwete amesaidia sana kuimarisha CHADEMA

Kama mpaka chama kinaimarishwa na mwingine yeye pale kaweka suruwali tu halafu anaitwa mwenyekiti.

Kweli watanzania wengi wana uwezo mdogo wa kutafakari,na kuelewa, mi na nahic na hizi lishe zetu znachangia.
 
Twendeni naye taratibu nguo zitaanza kubana mda siyo mrefu uelewa wa jk ni mpana sana kwenye mambo ya siasa mbowe hataamini matokeo yake.

We all know your understanding capacity is very limited bro . Omba msaada uambiwe what Freeman meant si mbaya .
 
Watu walionadisha fahamu zao watawezaje kuelewa symbolism aliyoitumia Mh. Mbowe? Waacheni waandelee kuhahaa. Sisi wenye IQ kubwa mapema tushaokota hoja ya msingi tunawaacha hawa mental retarded waendelee kuhahaa.
 
Jk anayo kadi ya Chadema ...ambayo alipewa mwaka ..2005 ...alipokua amempanga kuhamia Chadema ...Kama Jina lake lingekatwa ..so sio AJABU Sana ..kadi Iko kabatini ...ulikua mtiti ...hadi Mkapa akasalimu amri ..
 
Jk anayo kadi ya Chadema ...ambayo alipewa mwaka ..2005 ...alipokua amempanga kuhamia Chadema ...Kama Jina lake lingekatwa ..so sio AJABU Sana ..kadi Iko kabatini ...ulikua mtiti ...hadi Mkapa akasalimu amri ..
Well Said Kamanda
 
Ndio maana haachagi kuwaambia ccm wajiandae kisaikolojia ...JK ni mwana Mageuzi sema Huwa Hana msimamo wa Kusimamia Mageuzi ndani ya chama ...kwenye Vikao Vya NEC ..ashawambia wajiandae kisaikolojia .....( kuwa chama cha upinzani ) ....kukubali Serikali Tatu ....walipombana ...na misimamo ya chama ikabidi anywee
Suala zima la katiba halikuwa ndani ya sera ya ccm Bali sera ya Chadema na likatekelezwa na Rais ...na Ndio maana hata kila lilipokwama Bungenj ...Kikwete alikuwa akikaa Vikao Vya Siri na Freeman ...na kufuatiwa na Vya wapinzani wote na ccm ...mambo yalikuwa yanaenda vema hadi mwisho ...JK alipokosa msimamo akayumba na kupingana na Warioba ...pressure anapopata ndani ya chama chake ni kubwa na Hiki amekuwa akikiri HADHARANI
 
Ukiisoma sentensi ya Mbowe kama ilivyo bila kujiongeza huwezi kuelewa ujumbe uliomo.
Huwa wanaelewa ila wanajitoa akili tu, wewe huoni hata bungeni wakikomaliwa wanapinga kwa nguvu lakini hali ikizidi kuwa tete na upepo kwa wananchi haueleweki utaona baadae wanatengeza mazingira na wanaikubali hoja kwa mlango wa nyuma
 
Matokeo haya ya leo ya chaguzi za serikali za mitaa yanaongeza ushahidi wa kauli ya Mbowe kuwa Kikwete amesaidia kuimarisha CHADEMA.
 
Twendeni naye taratibu nguo zitaanza kubana mda siyo mrefu uelewa wa jk ni mpana sana kwenye mambo ya siasa mbowe hataamini matokeo yake.
Ha ha ,kumbe ndio maana hadi mvua zinanyesha kipindi cha Nuhu wehu walikuwa wakipeana Moyo ,kuwa ni mvua km nyingine tuu.Hadi leo hujakata tamaa kuwa JK keshamaliza excuses zote kilichobaki ni kudandia matukio yenye matokeo positive akadai kafanya yeye.
 
Back
Top Bottom