Pamoja na kwamba mm n mwana-ccm sisupport hii post hata kidogo kama kweli watu tunaleta itikadi za vyama kwenye misiba hatutafika mahali hata kidogo
Kwanza uelewe MBOWE NI KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI ni kiongozi mkubwa sana ndan ya Bunge kiprotokali za Bunge anapaswa kwendaa
Bila Shaka mleta post ana tumbo la kuhara basi kama sivyo ana lake jambo,
Comrade mwenzangu jitahidi kujitafakari kabla ya kupost humu kama great thinker
Uzi kama huu c wakuleta hapa,Kesi na msiba kipi muhimu??
Msiba ni wa siku moja na siku bado zipo za kuendesha kesi