Mbowe karudi CCM kimya kimya?

Mbowe karudi CCM kimya kimya?

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,307
Mbowe kashiriki msiba wa mwanaCCM mzee Samwel Sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema Joseph Mungai.

Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.

Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.

Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
 
Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.

Mbowe ni KUB,
Ni kiongozi mkubwa katika maswala na protokali za kibunge.
Tupunguze ushabiki na uchokonozi wakati mwingine.
Nimewasikia wabunge wengi wa Chadema wamemsifu sana Mzee Six...aliwapa shavu refu sana bungeni.
 
Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.

Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.

Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.

Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Kwa hiyo Ulitaka Asiende Msibani?

Ndiyo Mana ccm Inawanyima Mikopo ya Elimu Muwe Mambumbu Izidi Kuwatawala.
 
Wiki ya pili Lema yuko mahabusu wala hajaenda kumjulia hali, yaani kampotezea.
 
Mbowe kashiriki msiba wa mwanaccm mzee samwel sitta lakini hajashiriki kivile msiba wa mwana chadema joseph mungai.

Hakwenda kwende kesi ya lema arusha kaenda bungeni kumuaga samwel sitta.

Lakini katika matukio yote ya kumuaga sitta Lowasa na watu wake hawajaonekana kuanzia karamagi hadi lowasa mwenyewe.

Kwa maana nyingine kajitoa chadema kimya kimya na kumtelekezea Lowasa.
Mbowe aliuza CHADEMA
 
Hii ni thread ya kijinga sana. Siasa hazipo kila mahali. Mbowe kafanya jambo la kiungwana sana na nimpongeza kwa hili.

Eddy unahitaji mafunzo ya kisiasa. Siasa sio uadui.
 
Sasa Lowasa keshajua kikulacho ki nguoni Mwako. Mtu pekee Lowasa anayestahili kumwamini ni Kingunge.
 
mijitu mingine bana, unapoteza muda wako kuandika kitu kama hiki, ikifika maswala ya utu weka siasa pembeni jamani kila siku mnaambiwa
 
Jamani, mie nimeuliza swali, katika comment zote hakuna aliyesema ''HAPANA'' zaidi ya kebehi na maneno ya hovyo, lakini yote hayalengi kusema hapana.
 
Wenzetu wa huko mbele huwa wanatanguliza nchi zao mbele ila Tanzania tunatanguliza lichama letu bovu mbele kila wakati,Hapa ndipo uwezo wetu wa kufikiri unavyopimwa.Ukiona mtu kila wakati anafikiria kichamachama ujue amekuwa mtumwa wa fikra za kichama wala hana hata habari hata juu ya maisha yake zaidi ya lichama lake aibu kwa mtanzania wa kizazi cha sasa.
 
Haya tumekusoma kachukue buku saba yako sasa
 
Back
Top Bottom