Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

Mimi ni mwana CCM halafu umri wangu mkubwa kuliko Mbowe kwa mwaka mmoja. Nakushauri jikite katika hoja na siyo kwenye personalities. Tuko na IDs fake na unaweza kuta unabishana na Baba yako mzazi
Mkubwa kuliko Mbowe alafu una lugha chafu namna hiyo?
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Sio tu wanafiki ni Wazandiki pia ....Mbona walikaa kimyaa waiatu Serikali ya Mwendazake Dikteta Magufuli alipozuia watu wasifanye kusnyiko la kumuombea Tundu Lissu ....wao wakae wajaze matumbo yao...hakuna Ddini hapo!
 
Hivi mwendazake alifanywa nini na Chadema kiasi cha kuwa na ile Chuki ya Ibilisi dhidi ya Chama hiki, viongozi na wafuasi wake? Ila Chadema ni kama Mtakatifu fulani hivi, ukimuumiza unakufa mwenyewe
Lilikuwa ni shetani haswa linakujaga briefly na kutoweka! refer Adolf Hitler, Mussolini na hata Idd amin. Ni mashetani yanakujaga kwa kipindi kifupi na kutoweka! Doxas = Appearances that dissolves.
 
Kati ya Mimi na wewe nani anaandika lugha ya matusi? Mimi nakubali naandika hard facts. Yaani sirembi wala siandiki mafumbo, lakini situkani mtu

?
Basi kama hiki unachoandika humu ndio hard facts, wewe ni kubwa jinga
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Chadema irudi kwenye nafasi yake manake bila upinzani imara tutarudi tulipokuwa 2015-2021.
 
Hiyo kamati ni kiboko walikaa kimya wakina Ben saa Nane,Azory Gwanda kupotezwa leo wanajitokeza hawa wakina Shoo,Askofu Bagonza na Shehe Ponda na yule mwingine aliambiwa sio Raia wa Tanzania ndio nawakubali hiyo kamati yao ya uongo tuu..
 
Utakuwa una mimba yake wewe sio bure mtu kafa tuanze kumuweka kwenye ajenda, how???

Kanunue udongo mwekundu ule au tukusaidie kutoa mimba?
jpm tutaendelea kumtaja kwa kazi aliyoifanya.kama tumbo linauma ukisikia jina lake,jipige risasi ya tako.
 
Mh.Mbowe anaongea.....

Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......

My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Walikuwa wanampigia promo Mwendazake kwa manufaa binafsi.
 
Viongozi wa kiroho muwe kweli Manabii (wa kweli), Wafalme (wa kweli) na Makuhani wa kweli wakati wote na kwa kondoo wote wa BABA hata nyakati ngumu. Msielemee upande moja. HAKI ndicho kitu cha kwanza, AMANI itafuata palipo na haki. Mungu Baba ndiye aliyetuleta Tannzania (Tanganyika) sisi wote.

Hakuna binadamu mwenye jukumu hilo. Sisi sote tuna haki sawa ndani ya nchi hii. Hivi mnadhani vurugu ndani ya nchi zinaletwa na wananchi? La hasha, bali viongozi waliosahau kutekeleza wajibu wao, wakaanza kutekeleza matakwa ya Ibilisi Lusifa na vibaraka wake.

Kiongozi bila haya unafurahia aibu wanayotenda kina Sabaya kwa Watanzania wenye mtizamo tofauti nawe. Viongozi wa kiroho mmekaa kimya. Leo hii neno "Mwendazake" limewatoa karamuni mnakokula vinono na watesi tena kwa gharama zetu.

Mungu daima atabaki YULE Mwenye uwezo ulio MKUU unaodhibitiwa na Destruri yake iliyo bora (UPENDO, HURUMA, UPOLE, UVUMILIVU, UKARIMU hata kwa hao watesi wetu, WEMA, MKWELI, DAIMA MWAMINIFU). Mara zote tusimame kwenye kweli na haki, unafiki tuachane nao. Amin
Huyu mzandiki mkubwa. Anatumia kipaji chake cha uongo lakini chadema kama chama imekufa wala haitazinduka.
 
Back
Top Bottom