Mbowe kaamua kuchagua fedha na sio heshima

Mbowe ametumikia Chadema, ameshindwa kwenye sanduku la kura, amejikalia kimyaa.
Mbowe ametoa mchango wa kutosha kwenye siasa za Tanzania, imetosha.
Muacheni mzee Mbowe apumzike.
 
Apumzike na nawakati anaweza enda chamua ila tusubiri mda utaongea
 
Back
Top Bottom