Kwani heshima haiwezi kuja na kuondoka?In long run heshima inafaida kwa sababu haiwezi expire
Fedha zinakuja na kuondoka
Hii ni hoja nyingine, stick kwenye hoja uliokuja nayo.Kwanini alishiriki uchaguzi basi asingeshiriki uchaguzi wa tarehe 21
Kuwa mwaminifu alafu ghafla kuwa mwizi na jambazi uone watu waliokuwa wanakuheshimu kama wataendelea kukuheshimuKwani heshima haiwezi kuja na kuondoka?
Sina-historia ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa hapa TanzaniaPumbavu kabisa, wakati mnampaka vinyesi na uanaharakati wenu, mlimlindia heshima?
Mbaga, ni jina kubwa sana hapa na linaheshima yake, hainistahili kabisa kukumbusha wajibu wako kama mtu mbobevu wa kuchangia mada hapaUnajielewa kweli?
Kama hana shida ndogo ndogo, sasa point ya Mada yako ipo wapi?
Nataka point ya kusema heshima ya mbowe itashuka baada ya kuondoka chadema, nipe point hy heshima itashukajeMbaga, ni jina kubwa sana hapa na linaheshima yake, hainistahili kabisa kukumbusha wajibu wako kama mtu mbobevu wa kuchangia mada hapa
Si vyema kabisa kumshambulia mleta uzi zaidi ya kushambulia mada iliyopo
Samahani kwa hilo
Mi naona jamaa kaja na hoja nzuri tu, ni kweli mtu kama Mbowe ni mtu mwenye heshima zake katika siasa za nchi hii na nje ya chi, na kwa ujumla wake ndani ya Chadema
Nami naungana vizuri na mleta uzi kusema, haitakuwa busara yoyote kwa mazingira yoyote mh Mbowe kuhama chama alichokipigania kwa miaka lundo
Atatoa sababu ipi zaidi ya kumuona kweli kaamua kuchagua fedha?
Je, ni kweli hakupenda kuachia madaraka? Na kwamba amekuwa Chadema kwa sababu ya cheyo? Bila cheyo hicho cha usimamizi wa chama ambacho pia kinafursa nyingi na fedha nyingi hupita mkononi mwake hawezi kuwa mwanachadema?
Sure lo let's wait and see
Au aseme kwanini anaumia akiona wazazi wake wanadharauliwa mtaaniWewe kwanini unawaheshimu wazazi wako ukinijibu hili swali na mimi ntakujibu
Changamoto ya watu huku ubinafsi unawasumbuaAu aseme kwanini anaumia akiona wazazi wake wanadharauliwa mtaani