Mbowe hovyo kabisa

Mbowe hovyo kabisa

Ukisoma sababu wanazozitoa ukawa kujitoa bkt kupitia mbowe.lipumba na mbatia utagundua hawa viongozi ni ziro na wana malengo yao. Sababu ya kujitoa et kwa sababu ya kutukanwa na ccm kuleta hoja ambazo hazipo kwa rasimu. Swali hivi matamshi ya s.sharifu kuwa zanzibar hawataki utawala wa watu weusi wanataka utawala wa watu wenye madefu kuzidi yeye toka omani.je hi sio chuki uhaini?.lipumba kuwaita wajumbe wenzake wauaji.je si matusi kejeli?. Tindu lisu kumwita nyerere baba wa taifa kuwa ni tapele,mwongo,alishi kwa mjanjamjanja,muuaji.je hizo kauli sio dhihaka?.machali kusema kuwa viongozi wote watu hovyohovyo.sio kejeli?. Jusa kusema wenzake wajumbe toka zenji wamefyata mkia.sio kejeli matusi?. Ukiangalia wenyewe ukawa walitoa lugha za maudhi lakini wenzao wakavumilia wenyewe wakajiona kama wasafi. Ukawa wananchi ukweli kabisa na mfanye utafiti mtaani wamewachoka na hasa chadema kwa sababu ndio walio anzisha kutaka toka. Tafuteni njia nyingine za kujitangaza. Mana kama chadema njia hiyo ya kuzunguka mtkeo 0

Yaani katka wajinga na wewe unaitwa muheshimiwa.
 
Yapo mengi yatatokea ngoja tuone sasa maana ya ze bunge comedy imegamia humu duuh hatari
 
Nashukuru hata SITTA amegundua kuwa propaganda hizi haziwezi kuwakabiri UKAWA anatakiwa achukue hatua makini na muafaka
 
Ukisoma sababu wanazozitoa ukawa kujitoa bkt kupitia mbowe.lipumba na mbatia utagundua hawa viongozi ni ziro na wana malengo yao. Sababu ya kujitoa et kwa sababu ya kutukanwa na ccm kuleta hoja ambazo hazipo kwa rasimu. Swali hivi matamshi ya s.sharifu kuwa zanzibar hawataki utawala wa watu weusi wanataka utawala wa watu wenye madefu kuzidi yeye toka omani.je hi sio chuki uhaini?.lipumba kuwaita wajumbe wenzake wauaji.je si matusi kejeli?. Tindu lisu kumwita nyerere baba wa taifa kuwa ni tapele,mwongo,alishi kwa mjanjamjanja,muuaji.je hizo kauli sio dhihaka?.machali kusema kuwa viongozi wote watu hovyohovyo.sio kejeli?. Jusa kusema wenzake wajumbe toka zenji wamefyata mkia.sio kejeli matusi?. Ukiangalia wenyewe ukawa walitoa lugha za maudhi lakini wenzao wakavumilia wenyewe wakajiona kama wasafi. Ukawa wananchi ukweli kabisa na mfanye utafiti mtaani wamewachoka na hasa chadema kwa sababu ndio walio anzisha kutaka toka. Tafuteni njia nyingine za kujitangaza. Mana kama chadema njia hiyo ya kuzunguka mtkeo 0

.........zifuatazo sasa ni habari za kimataifa.....................
 
Mbowe hata kwenye chama kila kitu anamtegemea Lisu ndiyo maana anachanganywa na lisu na kupotoshwa.
 
Huwezi kuwatangazia UKAWA "wananchi wanawachukia"huku mnawanyima kibari cha kufanya mikutano.wapeni basi muone mziki
 
Mbowe mimi nambeza kama ninavymbeza lema na Lipumba huwezi kuwa mwenyekiti halafu ukaa na mawazo ya hovyo kiasi hicho halafu huku unaongoza kundi la watu.

Mawazo ya hovyo ya raids waangani aka Vasco dagama kulazimisha nyerere katukanwa wakat na sisi tulisikia kila kitu uongo?
 
Ktk dunia ya sasa propaganda zina nafasi ndogo sana kwenye siasa.Mumuulize mzee Makamba 2010 porojo dhidi ya dr.Slaa
 
Umuhimu wa Mbowe katika siasa za nchi hii hususan za kusaka matumaini na haki ya Watanzania dhidi ya mfumo na utawala uliochoka huwa unadhihirika kila siku kupitia midomo ya maadui/wapinzani wake na maadui au wapinzani wa CHADEMA. Vivyo hivyo kwa Katibu Mkuu Dkt. Slaa na makamanda wengine waandamizi ambao hamuishi kuwaanzishia thread hapa kila dakika inayopita.

Vitabu vitakatifu vinasema Mungu akitaka kumtangaza kulitangaza jina au mambo mazuri ya mtu hupitia kwenye vinywa vya watu wabaya wanaomwonea wivu, gere au kijicho au basi tu ambao wamekosa hoja za kushindana naye.

Hali hiyo ndiyo inajidhihirisha pia kwa movement ya UKAWA kwa sasa...badala ya kujenga hoja mnaibua viroja kama mlivyofanya kwenye thread hii. Hakuna kitu zaidi ya viroja tu. No wonder hata viongozi wenu na mawakala wao bungeni badala ya kujenga hoja wanakimbilia vitisho vya udini na mapinduzi ya kijeshi. Useless arrogance which will be costful come the days.

Hoja iko wazi kama mnaamini wananchi hawakubaliani na hoja za UKAWA zilizojaa ushahidi wa kitafiti na mtiririko wa mantiki, acheni rasimu yenye msingi wa serikali tatu (ofcourse iliyofanyiwa maboresho) kisha twende kwa wananchi kama kweli si maoni yao basi mtashinda...tatizo liko wapi kama mnajiamini kuwa mnao ushawishi wa hoja.

Mnadhihirisha uoga, hofu na kuishiwa hoja kabisa za kupingana na maoni ya Watanzania ambao wamependekeza Shirikisho la Serikali Tatu.

Mnaogopa nini? Kama ni kuhifadhi historia ya CCM kama chama fanyeni hivyo kwenye makabrasha ya Lumumba (mliyotaifisha) au White House (nyumba ya CDA). Tunataka kutunga katiba inayotokana na watu si ghiliba na vitisho vya CCM na mawakala wake.
 
kumbe unamshambulia mh.Mbowe kwa kujibu mashambulizi! tambua kuwa hizi ni mashine wewe,hasira ndo zimekufanya uandike hiyo thread,tulia mjomba hizi siasa huziwezi.
 
Back
Top Bottom