Mbowe hovyo kabisa

Mbowe hovyo kabisa

Ntakulipua unadani mimi naogopa ban kichwa chako tikiti maji.

Mkuu punguza bangi za Boko bhana... vip biashara zako zaa kupitisha sembe ufukwe wa kawe umeacha au! sikuoni kabisa siku hizi!!!
 
Ukisoma sababu wanazozitoa ukawa kujitoa bkt kupitia mbowe.lipumba na mbatia utagundua hawa viongozi ni ziro na wana malengo yao. Sababu ya kujitoa et kwa sababu ya kutukanwa na ccm kuleta hoja ambazo hazipo kwa rasimu. Swali hivi matamshi ya s.sharifu kuwa zanzibar hawataki utawala wa watu weusi wanataka utawala wa watu wenye madefu kuzidi yeye toka omani.je hi sio chuki uhaini?.lipumba kuwaita wajumbe wenzake wauaji.je si matusi kejeli?. Tindu lisu kumwita nyerere baba wa taifa kuwa ni tapele,mwongo,alishi kwa mjanjamjanja,muuaji.je hizo kauli sio dhihaka?.machali kusema kuwa viongozi wote watu hovyohovyo.sio kejeli?. Jusa kusema wenzake wajumbe toka zenji wamefyata mkia.sio kejeli matusi?. Ukiangalia wenyewe ukawa walitoa lugha za maudhi lakini wenzao wakavumilia wenyewe wakajiona kama wasafi. Ukawa wananchi ukweli kabisa na mfanye utafiti mtaani wamewachoka na hasa chadema kwa sababu ndio walio anzisha kutaka toka. Tafuteni njia nyingine za kujitangaza. Mana kama chadema njia hiyo ya kuzunguka mtkeo 0

Mimi sipo Ukawa wala ccm nakuhoji kivyangu vyangu 1- hv umewahi kuisikia ile Hotuba ya Nyerere akiomba Msamaha kiutu Uzima?namnukuu alisema hv Alitawala kwa Miaka 25 serikali walitenda mabaya na Mazuri , ikija Serikali mpya inachukua Mazuri hasa ya Msingi inayaendeleza , lakini eti cha Ajabu hata Mazuri mnayawekea question mark ? Na Yale mabaya yote mnaachana nayo , Nyerere hapo alikiri Kuwa walikosea hawakuwa Malaika Pia kawaonya wasichukue Mabaya , wahakikishe wanayaendeleza Mazuri yote , Sasa imekuwa Kinyume Muungano umechezewa faulu Zanzibar wamekuwa Wajanja kuliko Tanganyika wapo speed 120 na Tanganyika hajielewi elewi hv ! Wajanja wanapiga pesa zinazotengwa kwa ajili ya kumaliza Kero ya muungano, kisha wanachochea Zanzibar wavunje Katiba wawe ili Kero zizidi na pesa ya kero iongezeke wapate kufaidika maradufu,Muungano wa sasa ni wa kiini macho tu ! Umebakia kofia tu ! Watanganyika wanataabika kwa Huduma Duni za kijamii huku Wajanja wachache wanazitumbua pesa za Tanganyika kwa kisingizio cha kuubembeleza muungano ! Tambua Kama muungano ni Biashara sasa Tanganyika anapata Hasara lakini Zenji anafaidika sana,Maana kafuga lundo la watumishi kwa kutegemea Kulipiwa posho na Mishahara na Tanganyika. Watu wameamka baada ya kusikia Miaka 47 zenji hajalipa Ada ya muungano lakini bado Tanganyika anajipendekeza na anamlipia wala hathubutu kuwadai.
 
Muungano wa Marekani ni wa Kisayansi sana Hauna Marais wawili wala Makamu wa Rais watatu sanjari na Waziri mkuu, Ada za muungano hulipwa kwa Wakati,Zile Nchi ndogo ndogo hazina Utitiri wa Wabunge na Lundo la Watumishi kwa kutegemea pesa za Nchi kubwa, Uchoyo wa Ardhi,Uchoyo wa mafuta baharini,Udini na Ubaguzi ni Mwiko kabsa Pia hawapendi Ulalamishi,huwezi kukuta Mbunge analipwa posho Mara 2 , hawavunji katiba Kienyeji na Kuwa Nchi kinyemela , Amiri Jeshi Mkuu ni Mmoja tu yaani Rais Obama, Gavana wa Nchi hawezi kuvukagua vikosi vya Ulinzi , wamejipanga kisayansi sana tunapaswa kujifunza kwao Maana wao hawana Wizara ya muungano wapo Kidgtal zaidi ,muungano wetu ni moja ya Muungano Ghari na wa Ajabu uliosalia Duniani.
 
Kinachofurahisha pasaka ya mwaka huu viongozi wangu wa dini wametoka na waraka unaotakiwa na jamii ya watanzania kwa hakika watanzania wamezungumza.ccm fungueni ubongo kwa sasa hakuna umma uliousema nyuma yenu.mnajidanganya mnasemea kumbe ni matumbo yenu tuu.sasa kanisani la mungu aliye hai limeongea.
 
Mjadala mzuri. Punguzeni ukali wa maneno yenu. Hili ni jukwaa la wastaarabu.
 
Najiuliza tuu kama mwenyekit wa ccm angekuwa anaongoza upinzani
bila shaka angeshakiuza chama siku nyingi km alivyofanya msaliti zzk.
Mbowe ni mlima ule,unaopitia vigongo vingi,huwez mfananisha na jk dhaifu
 
Mbowe hana issue anataka nguvu ya kulea mwanae freelady aliyeza na mh.mukya
 
Back
Top Bottom