Mbowe hovyo kabisa

Mbowe hovyo kabisa

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Ukisoma sababu wanazozitoa ukawa kujitoa bkt kupitia mbowe.lipumba na mbatia utagundua hawa viongozi ni ziro na wana malengo yao. Sababu ya kujitoa et kwa sababu ya kutukanwa na ccm kuleta hoja ambazo hazipo kwa rasimu. Swali hivi matamshi ya s.sharifu kuwa zanzibar hawataki utawala wa watu weusi wanataka utawala wa watu wenye madefu kuzidi yeye toka omani.je hi sio chuki uhaini?.lipumba kuwaita wajumbe wenzake wauaji.je si matusi kejeli?. Tindu lisu kumwita nyerere baba wa taifa kuwa ni tapele,mwongo,alishi kwa mjanjamjanja,muuaji.je hizo kauli sio dhihaka?.machali kusema kuwa viongozi wote watu hovyohovyo.sio kejeli?. Jusa kusema wenzake wajumbe toka zenji wamefyata mkia.sio kejeli matusi?. Ukiangalia wenyewe ukawa walitoa lugha za maudhi lakini wenzao wakavumilia wenyewe wakajiona kama wasafi. Ukawa wananchi ukweli kabisa na mfanye utafiti mtaani wamewachoka na hasa chadema kwa sababu ndio walio anzisha kutaka toka. Tafuteni njia nyingine za kujitangaza. Mana kama chadema njia hiyo ya kuzunguka mtkeo 0
 
Wewe ndio hovyo kabisa inaonyesha kichwani huko box tupu. Kama unashndwa kuelewa ccm wanajadili rasimu ambayo haipo bungeni utakua mwehu taahira kweli kwel.
 
Mbowe mimi nambeza kama ninavymbeza lema na Lipumba huwezi kuwa mwenyekiti halafu ukaa na mawazo ya hovyo kiasi hicho halafu huku unaongoza kundi la watu.
 
Wewe ndio hovyo kabisa inaonyesha kichwani huko box tupu. Kama unashndwa kuelewa ccm wanajadili rasimu ambayo haipo bungeni utakua mwehu taahira kweli kwel.
Wehu kwa kutetea wehu wenzao hawajapo tukiwa wakweli bila kupindisha mbowe anatengeneza vurugu zitokee kwa mitaji yake ya kisiasa.
 
Hivi Nani alikuambia kuna kitu kinaitwa jf? Mbona umekurupuka ? Ujajitambua nini unatakiwa kufanya? Elimu yako? Yani umetia Sibiu kubwa sana na hii topiki yako
 
Jiulize kwanza kwanini chadema kinakufa ndipo utapata majiu mazuri kuwa mbowe ni tatizo kubwa kwenye hii jamii.
 
kuna watu wamesherehekea pasaka vema sana, lakini mwenzetu KIBE amevurugwa mbayaaaaa, kwa kuwa alikuwa hajui size ya pempas (spelling check) yake ametokelezea na kanga AIBU YA MWAKA.

Ene wei kakinge buku saba zako.
 
Last edited by a moderator:
Wehu kwa kutetea wehu wenzao hawajapo tukiwa wakweli bila kupindisha mbowe anatengeneza vurugu zitokee kwa mitaji yake ya kisiasa.
Hili nalo neno make watu wengine hawaonishida kumsaidia mwizi kuiba.
 
Mbowe namjua vizuri sana siyo mwanasiasa angefanya tu mziki ingemsaidia sana lakini siasa full majnga.
 
wewe ndio hovyo kabisa inaonyesha kichwani huko box tupu. Kama unashndwa kuelewa ccm wanajadili rasimu ambayo haipo bungeni utakua mwehu taahira kweli kwel.

wewe ndo hovyo na ukawa ndo hovyo wako kama sanamu bungeni hata sheria ya kuunda bunge maalum la katiba hawasomi na huku wametunga wao.sheria mbona iko waza na inaeleza jukumu mojawapo la bkt ni kujadili rasimu.kubadilisha.kuingiza maoni,na kufuta yale yasiyofaa na kuweka yanayofa. Ukawa wote wanajua sasa wanapopita mtaani kupiga kelele et wenzao wanabadili rasimu ndo hapo watu wanakuwa wanawaona hovyo kabisa. Tatizo moja mbowe lisu slaa mnyika njaa kali walikubali kwenda ikulu kunywa chai waliporudi bungeni wakawa kama mtoli wakapitisha kifungu hicho.et leo hao hao wanasusa kwa sababu hy. Mumeandamana hd kwa wananchi miaka yote lakini results kata 3,3 kalenga 0 chalinze 0.tafuteni njia nyingine ya kueneza chama hy imekwama
 
Wewe ndio hovyo kabisa inaonyesha kichwani huko box tupu. Kama unashndwa kuelewa ccm wanajadili rasimu ambayo haipo bungeni utakua mwehu taahira kweli kwel.

wewe ndo tahira square! Muundo wa serikal unaojadiliwa haupo kwenye rasimu?
 
Swali la muhimu kabisa la kuanzia hapa...maelezo yako yoote uliyotoa mbona hayana uhusiano na kichwa cha habari ulichoandika? Au unaendeleza ubingwa wa kusema vibaya kama ambao umeoneshwa na wwjumbe wa CCM na its cronies kwenye mada uliyoizungumzia.

Hoja za UKAWA kujitoa ambazo wala hazina uhusiano na personalities za Mwenyekiti wa UKAWA, wajumbe wake wengine wote wakiwemo waandamizi Prof. Lipumba na Mbatia kwa kuwataja wachache, ziko wazi sana.

Msingi wa sababu hizo ukianza kuwekwa na Mwenyekiti Mbowe kwenye ufafanuzi wa maoni ya wachache kwenye Kamati No. ambapo alisema wazi kuwa kulazimisha kujadili serikali mbili ni kulazimisha kitu ambacho hakipo na kinakwenda kinyume kabisa na msingi wa rasimu ya sasa ambao ni serikali tatu, ukiwa umetokana na maoni ya wananchi.

Hicho ndicho alichosema Prof. Lipumba Jumatano iliyopita kwamba hakuna sababu ya kuendelea kuwemo ndani ya bunge wakati maoni ya wananchi yakisiginwa na kupuuzwa bila haya kwa hoja mfu zinazosindikizwa na matusi, ubaguzi wa rangi na udini ili tu kulinda sera ya CCM ya serikali mbili.
 
Ukisoma sababu wanazozitoa ukawa kujitoa bkt kupitia mbowe.lipumba na mbatia utagundua hawa viongozi ni ziro na wana malengo yao. Sababu ya kujitoa et kwa sababu ya kutukanwa na ccm kuleta hoja ambazo hazipo kwa rasimu. Swali hivi matamshi ya s.sharifu kuwa zanzibar hawataki utawala wa watu weusi wanataka utawala wa watu wenye madefu kuzidi yeye toka omani.je hi sio chuki uhaini?.lipumba kuwaita wajumbe wenzake wauaji.je si matusi kejeli?. Tindu lisu kumwita nyerere baba wa taifa kuwa ni tapele,mwongo,alishi kwa mjanjamjanja,muuaji.je hizo kauli sio dhihaka?.machali kusema kuwa viongozi wote watu hovyohovyo.sio kejeli?. Jusa kusema wenzake wajumbe toka
zenji wamefyata mkia.sio kejeli matusi?. Ukiangalia wenyewe ukawa walitoa lugha za maudhi lakini wenzao wakavumilia wenyewe wakajiona kama wasafi. Ukawa wananchi ukweli kabisa na mfanye utafiti mtaani wamewachoka na hasa chadema kwa sababu ndio walio anzisha kutaka toka. Tafuteni njia nyingine za kujitangaza. Mana kama chadema njia hiyo ya kuzunguka mtkeo 0

Umemaliza kidato cha nne kweli kwa uandishi huu au unatarajia kupata division five?
 
Mbowe toka zamani ni hovyo sana. Hata chadema ni hovyo zaidi.
 
kuna watu wamesherehekea pasaka vema sana, lakini mwenzetu KIBE amevurugwa mbayaaaaa, kwa kuwa alikuwa hajui size ya pempas (spelling check) yake ametokelezea na kanga AIBU YA MWAKA.

Ene wei kakinge buku saba zako.
Mwe! wamemfanya nini watu wa kwa macheni?
 
Wewe ndio hovyo kabisa inaonyesha kichwani huko box tupu. Kama unashndwa kuelewa ccm wanajadili rasimu ambayo haipo bungeni utakua mwehu taahira kweli kwel.

kwanza jitafutie jina lingine mbuzi wewe unadhalilisha jina la mkoa wangu
 
Back
Top Bottom