Mbowe: Hatuungi mkono Ugaidi lakini pia hatuungi mkono matumizi ya nguvu

For terrorists, I much prefer that they face military tribunals, because I do not believe that the United States Constitutional Republic provides mandated rights to the very people who seek to destroy those rights and deny them to others.
United States Constitutional Republic ???

Umejuaje wanataka ku destroy kama hujawapa fair trial?

Na serial rapist/killer nae apeleke military tribunal?
 
Hivi yale matukio ya balozi usa dar,nairobi na majengo pacha....ya biashara bado hawakumbuki leo wanaona kama usa wametumia nguvu zaidi au ndio maneno mdomoni wana siasa uchwara?
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe amesema chama chake hakiungi mkono matumizi ya nguvu kupita kiasi wala hakiungi mkono ugaidi. Amesema hayo alipokuwa akisoma maazimio ya kamati kuu na baraza kuu lililokaa hivi karibuni ambalo pamoja na mambo mengine amezungumzia kuhusu kuuawawa kwa kiongozi wa kikundi cha Al-Qaeda Osama Bin Laden.
Source- Channel 10
Alichokisema Mh. Mbowe ni kweli na mtu yeyote timamu anapaswa kusema hivyo. Kwa sababu watawala wengine wanaitumia nafasi ya ugaidi kutekeleza UGAIDI! na tujiulize kwanini kuna ugaidi? Je ugaidi ni nini? Inawezekana kabisa kila GAIDI ana GAIDI wake!!! Kuna wakati mtu unashindwa kabisa kuelewa sera za hao walioanzisha ugaidi, ikiwa walianzisha ugaidi na kuufadhili je walisahau kwamba iko siku utarudi nyumbani kwao? Ikiwa leo wanazivuruga na kuharibu tawala nyingine je kesho hakutakuwepo visasi na ugaidi mpya? Je ikiwa Mzee Madiba alipewa sifa ya ugaidi mbona Fidel Castro hakupewa sifa hiyo? Ikiwa maadui wa Matafa hayo makubwa na yanayowatishia huchapwa mbona mpaka leo hatujaona Cuba ikishambuliwa au lau kutupiwa kijikombora hata kimoja? Mbona hatuvioni vikwazo kwa Israel toka kwa wakubwa hao na hali nchi hiyo inatekeleza mauaji kila uchao?

Na ikiwa mfumo wa dunia hautobadilika basi ina maana kwamba WAKUBWA HAO NA VIBARAKA WAO NDIO WANAOULEA UGAIDI DUNIANI! na dunia itaendelea kutokuwa salama wala mahala pazuri pa kuishi kwa vitendo. Kwa maneno inawezekana!!

Na kibaya zaidi ni pale tunapokubali kusikiliza tungo na hadithi za kubuni! ukichunguza kwa makini utajua kwamba Osama amefariki miaka takriban mitano iliyopita, na Osama huyohuyo tuliambiwa ameuawa kwenye mapango ya torabora!! Ni huyuhuyo alieuawa Yemen na Sudan na kisha kukanushwa! Je Osama yeye ni nani asife? Kinachofanyika sasa ni jambo la kutunga ili kuandisha umaarufu wa jaluo 'wetu' ilakwa bahati mbaya ni jambo hilihili litamuangusha!! kwanini nasema litamuangusha? Leo inashangiliwa kwa sababu wamarekani wengi ni mbumbumbu na wanaamini kila kinachosemwa na media hata kama kimetoka Holywood!! Na kaugonjwa haka kameanza Tanzania!!! Muda si mrefu itajulikana kwamba si kweli na hapo kaumaarufu kalikopanda kataporomoka na jaluo atapigwa chini uchaguzi ujao. La sivyo upatikane uongo mpya utakaokuwa na nguvu kuliko ule wa awali!!
TUKIAMUA KUTOKOMEZA UGAIDI BASI NA TUSIWAFADHILI MAGAIDI! TIKIWA NA NIA YA KUONDOA UGAIDI BASI TUSISABABISHE UGAIDI KUWEMO MIONGONI MWETU....

KWANI KUFANYA UGAIDI NDIKO KUNAKOSABABISHA UGAIDI
 
Back
Top Bottom