Mbowe, Dr Slaa na Mnyika ni viongozi hovyo hovyo

mhh,
hii sasa kali, siasa za bongo michosho ni kuchambuana na kusingiziana mtindo mmoja.

Lakini tunajua uchaguzi umekaribia na walioandika wanahisisika ni akina na nani na lengo lao lini.

Ebu mi niendelee na proffession yangu.
 

Hii thread ni mkakati wa mafisadi ya CCM. this is the way hawa CCM wanavyo operate. Angalia mifano hii.
1. Wakati Amani karume anagombea Tiketi ya CCM ateuliwe kuwa mgombea, alituhumiwa kuwa si Raia.
2. Baada ya Wazungumzaji kina Quares,Butiku, Warioba nk kutoa maoni yao kwenye kongamano la Taasisi ya Mwalimu Nyerere wameandamwa na kuanzishiwa kila kashfa.
3. Kilango alipowalipua mafisadi na kuungana na Wapambanaji wengine, Sofia Simba akaja na yake na kumwambia kuwa ameisha vuta kutoka kwa mafisadi pia.
Mifano ni mingi lakini tunachojifunza ni kuwa CCM watamtafutia mtu yeyote mwenye kuwatuhumu kwa mabaya ili naye aonekane mbaya na anyamaze.
Wewe angalia mfanyabiashara asiyekuwa CCM, ataandamwa kuwa halipi kodi mpaka atalazimika kuwa mwanachama wao na mambo ndipo yatamnyokea!!!!
 

Nime-highlight maeneo machache ili kuhoji hii habari ilitoka gazeti la lini? kama imetoka gazeti la siku za karibuni basi kunahaja ya kulihoji gazeti husika kwa upotoshaji mkubwa.

Kama ni ya gazeti la miaka iliyopita, nahoji kwanini mwanzilishi wa thread hakutujulisha kuwa habari ni ya miaka iliyopita?
 
Inaonekana Chama cha Mafisadi kinajaribu kuwafanya Watanzania wasahau "The List of Shame" iliyotangazwa pale Mwembe Yanga na Dr Willibrod Slaa. Hakuna hata mmoja aliyetajwa amethubutu kwenda Mahakamani kujaribu kusafisha jina lake.

Operesheni SAngara ni lazima iendelee na isambaze nchini kote jinsi Mafisadi wanavyotafuna nchi yetu, reducing Tanzanians into poverty-striken paupers.

Hongera Mbowe, Slaa na Mnyika. Uzi ni huo huo! Hakuna Kulala, Mpaka Kieleweke.
 
Hapo tukiamua kufuatilia within 4 days tunaweza kupata list ya kikundi kilichoandika hiyo habari nzima, unakuta hakuna hata mwandishi wa habari mmoja, wote wako kwenye mission moja tu...

Sielewi taaluma ya habari inaelekea wapi!

Njaa baba, tamaa ya anasa na kuporomoka kwa maadili!! Inatia aibu na kichefuchefu kuona waandishi wengine ni watu wanaopaswa kuheshimiwa na jamii wenye familia zao lakini wako tayari kudanganyika/kununuliwa kwa vipande vya fedha kujifedhehesha binafsi, kufedhehesha familia zao na taaluma nzima ya uandishi wa habari. Inatia uchungu kuona wanaotenda kwa madhambi hayo wamo Wahariri Watendaji/Waandamizi!
 
I can not make head or tail of this story. How we talk of the late Chacha Wangwe in present terms? Like "yupo wapi Wangwe......?" Well as far as I know he is six feet under. RIP
 
I can not make head or tail of this story. How we talk of the late Chacha Wangwe in present terms? Like "yupo wapi Wangwe......?" Well as far as I know he is six feet under. RIP

ndo maana nimeuliza maswali mawili pale juu. Nimeshindwa kuchangia chochote baada ya kuona habari haiendani na muda. Yakijibiwa maswali hayo naweza kuchangia

1. Gazeti la lini (tarehe) lililochapisha habari hii?

endapo ni siku za karibuni, hapo nitajadili na kumshutuma mhariri kwa kufukua habari zilizopitwa na wakati.

2. Kama mleta thread ameijimbua huko kwenye mafaili ya miaka ya nyuma, basi atueleze kwanini hakuweka tarehe pale kwenye source?
 
Aaah, huyu anamfanyia kazi Karamagi!

You are right Jasusi.

Kuna wakati fulani tuliletewa list ya magazeti yanayofadhiliwa/kumillikiwa na mafisadi. Hili mojawapo.

Siku moja nilikuwa nataka kununua Tanzania Daima. Nilikuwa na haraka tena kwenye foleni ya asubuhi hapa Dar. Nikauziwa gazeti la TAZAMA. Content yake humo ndani, mhhhhh! Uhuru could be better.
 
he or she must be a stupid writer. Huu huwa tunauita ni uandishi maalumu wa msalani
 
he or she must be a stupid writer. Huu huwa tunauita ni uandishi maalumu wa msalani


Magezi kwa matukio haya ya kijinga ndiyo ushahidi kwamba Chadema inatisha so wanataka kuharibu ila watu tuko macho
 
Kama ni kweli hayo unayosema naomba ni withdraw maandiko yangu hapo juu.Duuh siasa za bongo nimenyoosha mikono,ni zaidi ya kuishi kwenye nyumba ya vioo.
Vioo vya aina ghani mkuu? transparent, translucent au tinted?
 
Uongo mtupu?Tazama analo kwani ni gazeti la hard news?mimi ninavyojua ni la udaku hivyo wala sishtuki na hii habari.Hebu mie niabgalie thread nyingine zenye mashiko sio huu udaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…