Mbowe, Dr Slaa kukutana na wanahabari leo

Mbowe, Dr Slaa kukutana na wanahabari leo

Kweli Chadema chama cha Wakristo. Mkutano Ijumaa saa sita mchana! Imagine mkutano uwe saa 3 asubuhi Jumapili!. Wachaga hawa hawajali sensitivity za wengine. Ma decoy Salum Mwalimu na Prof Safari hawalioni hilo?

ccm acheni hii mbinu watanzania wameshtuka mnataka kuwagawa. Kwa misingi ya dini.
 
Inaelekea wakijitikisa tu mnakosa usingizi. Imani yenu kuwa ni chama cha hovyo na kitakufa soon naona imeyeyuka.
Siyo tu utabiri wao wa kuhusu Chadema kufa kabla ya 2015, kama ilivyokuwa ikitabiriwa na makada wao Wassira na Nape, kuwa utabiri wao umekuwa wrong, lakini sasa utabiri huo sasa umekuwa vice versa na unaelekea kuwageukia wao.

Kwani kutokana na mwenendo wa kisiasa unavyoendelea nchini, sasa ni CCM, ambayo most likely itakufa na tutaizika rasmi in the year 2015.

Tukifuata nyayo za jirani zetu Kenya na Zambia, ambao nao vyama vyao vikongwe vilivyowaletea uhuru toka kwa mkoloni, walishavizika rasmi, na vyama hivyo vya KANU kwa Kenya na UNIP kwa Zambia, hivi sasa vimebakia katika vitabu vya historia kuwa kulikuwa na kipindi, nchi hizo mbili za Kenya na Zambia, viliwahi kuwa na vyama vilivyokuwa vikiitwa KANU na UNIP!
 
Mandla jr unalipwa bei gani mkuu? Mana wasomi hawana ajira ,wenye ajira ni watu wajinga wajinga,nchi hii sera ya kuajiri wajinga imeshika kasi

Mimi ni msomi wa Mzumbe. Niko Dodoma na nimeajiriwa na Serikali. Wasomi wengi sasa wanajiajiri zaidi kuliko kuajiriwa. Badilika
 
Wazee wa ESCROW ,kwaheri 2015 ,Sijaju vijana wa Lumumba itabid wakawe ma house boys? kwan rushwa ndo zina waweka hapo Lumumba ,na baada 2015 mkoloni mweus akiondoka hakuna rushwa tena.

huu mchongo wa escrow mmeutumia serikali za mitaa bila mafanikio, 2015 njooni na swaga zingine bado mtabwagwa tu
 
Mimi ni msomi wa Mzumbe. Niko Dodoma na nimeajiriwa na Serikali. Wasomi wengi sasa wanajiajiri zaidi kuliko kuajiriwa. Badilika

makamanda uchwara wa Ufipa wanajitahidi sana kujifariji lakini hawataambulia kitu 2015
 
Siyo tu utabiri wao wa kuhusu Chadema kufa kabla ya 2015, kama ilivyokuwa ikitabiriwa na makada wao Wassira na Nape, kuwa utabiri wao umekuwa wrong, lakini sasa utabiri huo sasa umekuwa vice versa na unaelekea kuwageukia wao.

Kwani kutokana na mwenendo wa kisiasa unavyoendelea nchini, sasa ni CCM, ambayo most likely itakufa na tutaizika rasmi in the year 2015.

Tukifuata nyayo za jirani zetu Kenya na Zambia, ambao nao vyama vyao vikongwe vilivyowaletea uhuru toka kwa mkoloni, walishavizika rasmi, na vyama hivyo vya KANU kwa Kenya na UNIP kwa Zambia, hivi sasa vimebakia katika vitabu vya historia kuwa kulikuwa na kipindi, nchi hizo mbili za Kenya na Zambia, viliwahi kuwa na vyama vilivyokuwa vikiitwa KANU na UNIP!

chadema ilishakufa siku nyingi uchaguzi huu imebebwa na Ukawa walioitengeneza wenyewe na Escrow ya REGINALD MENGI
 
Mimi ni msomi wa Mzumbe. Niko Dodoma na nimeajiriwa na Serikali. Wasomi wengi sasa wanajiajiri zaidi kuliko kuajiriwa. Badilika

Mzumbe? Mlikuwa darasa moja na Nape nini? Hamtofautiani sana kimawazo.
 
PM Pinda alikuwa hapa UK few days ago, alivyorudi alikupa mrejesho? Oooh, nasiikia alipita middle east, ukipata mrejesho yuhabarishe
mrejesho wa PM unaonekana kwenye maendeleo ya nchi
 
Wapi tutapata taarifa ya kinachoongelewa leo na viongozi wa nchi yetu?
 
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA leo ambapo viongozi wakuu wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanatarajiwa kuzungumza na wananchi kupitia waandishi wa habari.

Viongozi hao wanatarajiwa kutoa maazimio ya Kamati Kuu ya dharura iliyokutana jana jijini DSM.

Mkutano huo wa wanahabari utafanyika makao makuu ya CHADEMA Kinondoni DSM kuanzia saa 6 mchana!

Saa nane tayari jamani mbona kimya mpaka muda huu.
 
Kwa nini sakata la Escrow linaonekana kuinufaisha zaidi CHADEMA kuliko NCCR-MAGEUZI ya Kafulila? Au watu wanadhani Zitto bado yuko CHADEMA?

Naambiwa kule vijijini mashujaa kwenye sakata hili ni CHADEMA. 'Kosa' lilifanyika wapi, kwenye mjadala Bungeni?
 
Mtu kama Molemo, kwa umri wake haipendezi hata kidogo kuwa Muongo.

Analipwa na nani na kwa faida ya nani????

Huu uongo ndio ulimuharibia Ben Saanane CV!!!
 
Kweli Chadema chama cha Wakristo. Mkutano Ijumaa saa sita mchana! Imagine mkutano uwe saa 3 asubuhi Jumapili!. Wachaga hawa hawajali sensitivity za wengine. Ma decoy Salum Mwalimu na Prof Safari hawalioni hilo?
nimekudharau sana !
 
Mtu kama Molemo, kwa umri wake haipendezi hata kidogo kuwa Muongo.

Analipwa na nani na kwa faida ya nani????

Huu uongo ndio ulimuharibia Ben Saanane CV!!!
Lakini uongo kwa chadema ni jadi yao kabisa hatushangai kabisa.
 
Back
Top Bottom