Wasije kuuza nchi kwa wakoloni
nchi hawawez kuuza ispokua walienda kusain makubalino ya ndoa ya jinsia moja kwahiyo tukiwachagua Tanzania itakua nchi ya mashoga
Wasije kuuza nchi kwa wakoloni
Wanataka kutuonyesha bango walilolikuta jijini Humburg mitaani hivyo tuchukue hatua haraka kabla ya mnada haujafanyika.
View attachment 212124
nyie watu wa ajabu, pinda alikuwa huko huko mpaka karudishwa na mh. Raisi, mh. Raisi safari zake nje ni kama 400; safari moja ya hawa jamaa pichu zinawabana.... pumb.avu zenu...nchi hawawez kuuza ispokua walienda kusain makubalino ya ndoa ya jinsia moja kwahiyo tukiwachagua Tanzania itakua nchi ya mashoga
Leo watatoa tamko gani sasa??? Maana wameyatoa weee mpaka yameisha.
Yaani nafuu niangalie tamthilia ya MAYA nitakuwa na cha kujifunza kuliko kumsikiliza Prof wa Kichina.
Watupe na mrejesho wa safari ya vibaraka wao Ujerumani
Mbowe atuambie wameingia makubaliano gani na Ujerumani
Tena tamthilia inakuburudisha ila prof.atakuzishia stress tu
eti macho na masikio ya watanzania .si mwende ukatolee moshi mjini maana mmehamia huko kama nyumbu
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA leo ambapo viongozi wakuu wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanatarajiwa kuzungumza na wananchi kupitia waandishi wa habari.
Mkutano huo wa wanahabari utafanyika makao makuu ya CHADEMA Kinondoni DSM kuanzia saa 6 mchana!
rais haongei leo.. Mpaka jumatatu ijayo!! Chanzo clouds fm
Nchi ilishauzwa zamani sana na chama cha zamani(CCM). Kwani Tanzanite inapatikana wapi? kwani wenye dhahabu ya geita ni watanzania? au Wenye almasi ya Mwadui ni Watanzania, Vivyo hivyo itakuwa na gesi n.k. umechelewa sana ndugu yangu.Wasije kuuza nchi kwa wakoloni