Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA leo ambapo viongozi wakuu wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanatarajiwa kuzungumza na wananchi kupitia waandishi wa habari.
Viongozi hao wanatarajiwa kutoa maazimio ya Kamati Kuu ya dharura iliyokutana jana jijini DSM.
Mkutano huo wa wanahabari utafanyika makao makuu ya CHADEMA Kinondoni DSM kuanzia saa 6 mchana!
Viongozi hao wanatarajiwa kutoa maazimio ya Kamati Kuu ya dharura iliyokutana jana jijini DSM.
Mkutano huo wa wanahabari utafanyika makao makuu ya CHADEMA Kinondoni DSM kuanzia saa 6 mchana!