Mbowe, Dr Slaa kukutana na wanahabari leo

Mbowe, Dr Slaa kukutana na wanahabari leo

Mtu kama Molemo, kwa umri wake haipendezi hata kidogo kuwa Muongo.

Analipwa na nani na kwa faida ya nani????

Huu uongo ndio ulimuharibia Ben Saanane CV!!!

Press conference ya CHADEMA, cha ajabu maccm mna hamu nayo. Why?
 
Attachments

  • attachment-8.jpeg
    attachment-8.jpeg
    9.3 KB · Views: 351
Mtu kama Molemo, kwa umri wake haipendezi hata kidogo kuwa Muongo.

Analipwa na nani na kwa faida ya nani????

Huu uongo ndio ulimuharibia Ben Saanane CV!!!

Molemo ni muongo sana, Leo ameamka na hangover yake ya viroba na bange anaposti utumbo wake huku.
 
Wewe ni msomi lakin sio mwuelemika, mwelimika anajua nchi na wananchi wake mateso wanayopata ktk nchi yenye resource lukuki,a, msg yangu hujaelewA sawasawa na ndipo ninagundua umsomi usielimika
 
eti macho na masikio ya watanzania .si mwende ukatolee moshi mjini maana mmehamia huko kama nyumbu

Tupo makini kufuatilia taarifa makini kutoka chama makini cha ukombozi wa kweli na si zile ngonjera za mabusha kama sio tezi dume!
 
Back
Top Bottom