Mbowe, Dr Slaa kukutana na wanahabari leo

Mbowe, Dr Slaa kukutana na wanahabari leo

ccm wakisikia habari kama hizi homa inapanda joto linashuka.
 
eti macho na masikio ya watanzania .si mwende ukatolee moshi mjini maana mmehamia huko kama nyumbu

kaka ni utamaduni wa watu kurudi na kusherekea na familia zao sio jambo baya Angalia barabara ya kuelekea kimara hakuna foleni
 
Wasije kuuza nchi kwa wakoloni

Kwangu mimi ccm ni zaidi ya mkoloni...

1) Mnaiba na bado mnaita visenti
2) Wezi ndo mnawapa uwenyekiti wa kamati ya uandshi wa katiba pendekezwa
3) Mkizidiwa kwa hoja mnawamabwepande watu
4) Mkizidiwa hoja mnaleta mipasho...

Tafakari vema...
 
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA leo ambapo viongozi wakuu wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanatarajiwa kuzungumza na wananchi kupitia waandishi wa habari.

Viongozi hao wanatarajiwa kutoa maazimio ya Kamati Kuu ya dharura iliyokutana jana jijini DSM.

Mkutano huo wa wanahabari utafanyika makao makuu ya CHADEMA Kinondoni DSM kuanzia saa 6 mchana!

asante kamanda molemo tupo pamoja
 
Mh Kikwete ataongea na Wananchi wote Jumatatu.......Na jambo kubwa na zito katika maongezi yake itakuwa ni
sakata zima la ESCROW na Uchaguzi Serikali za Mitaa.

Hii ndio hotuba muhimu na ya kuisubiri,,wananchi hawana muda wa Kumsikiliza M/Kiti na Katibu wa SACCOS.
 
Yaani nafuu niangalie tamthilia ya MAYA nitakuwa na cha kujifunza kuliko kumsikiliza Prof wa Kichina.
 
eti macho na masikio ya watanzania .si mwende ukatolee moshi mjini maana mmehamia huko kama nyumbu

ACHA UBAGUZI,watanzania wote tunahaki ya kuishi popote pale bila kujali dini,kabila wala ukanda.
 
Wanataka kutuonyesha bango walilolikuta jijini Humburg mitaani hivyo tuchukue hatua haraka kabla ya mnada haujafanyika.
View attachment 212124

Kaka nchi ishauzwa,hauoni jinsi Singasinga alivyojuu ya sheria kwasababu amenunua Tanganyika yetu kwa vipande thelathini vya pesa.:sick::confused2::fear:
 
Kumbe huu uzi ndo umemkimbiza mkulu asizungumze na wazee....! uliwekwa hapa 9.31 asubuhi wakati ule wa kututaarifu umewekwa 9.58 asubuhi hii...! Kumbe UKAWA wameishaanza kukubaliwa magogoni...kama sasa wanaweza hata kubadilisha ratia ya mkulu.
 
ni kitu gani hasa ambacho wanakijadili tuhabarishe walau kidogo makamanda tufahamu nini chama tawala 2015 kinajadili
 
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA leo ambapo viongozi wakuu wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanatarajiwa kuzungumza na wananchi kupitia waandishi wa habari.

Viongozi hao wanatarajiwa kutoa maazimio ya Kamati Kuu ya dharura iliyokutana jana jijini DSM.

Mkutano huo wa wanahabari utafanyika makao makuu ya CHADEMA Kinondoni DSM kuanzia saa 6 mchana!

Aliyepanga mkutano mida hiyo hajui kama leo ni Ijumaa au kafanya makusudi? Haya ndio maswali watu hujiuliza sana. Salum mwalim na waislam wengine ambao nao wangependa kuwepo hamjawatendea haki. Mpangaji hakuwa makini.
Huwezi itisha press J2 time za kanisani bana badirikeni vitu vingine havihitaji uwe hata na phd.
 
Back
Top Bottom