Mbowe: CHADEMA hatutaki Ruzuku kwani ni utumwa kwa vyama vya siasa nchini

Mmmmmmmmm, niwazo zuri sana na nnawapongeza sana chadema ila wasiwasi wangu ni je wataweza kukiendesha kweli chma bila ruzuku kweli?????????!!!!!!!!!!!!

Kwani vyama vya ukombozi kama TANU, KANU, UNIP, FRELIMO, ANC, MPLA nk vilipata ruzuku toka wapi? zaidi ya michango na kujitolea kwa wanamapinduzi na wapenda mabadiliko!!
 
Itakuwa vizuri kama itakuwa just optional coz wapo watu ambao hawajui mpesa na tigopesa ni nn, na hata mlo wao kwa siku ni shida, kwa mawazo yangu watumie pia wafadhili wa ndani na nje ya nchi.
People's Power!
 
Kwani vyama vya ukombozi kama TANU, KANU, UNIP, FRELIMO, ANC, MPLA nk vilipata ruzuku toka wapi? zaidi ya michango na kujitolea kwa wanamapinduzi na wapenda mabadiliko!!

jidanganye hivyo hivyo!!! juzi tuu mmetoka kusema mlimpasupport Madiba akasahau na viatu bongo!! Au mmepata mfadhil na nyie!?
 
Huyu mbowe kaanza kuchanganyikiwa.

Sio peke yake!hadi wanachama....!!we ukiona wanaongelea gongo toka ktk cement kama sera ya chama wkt tunashida nyingine nyingi hadi utosini unadhan wazima hao!
 
Kwani vyama vya ukombozi
kama TANU, KANU, UNIP, FRELIMO, ANC, MPLA nk vilipata ruzuku toka wapi?
zaidi ya michango na kujitolea kwa wanamapinduzi na wapenda
mabadiliko!!

Unamaanisha kuna watu kama mwl na sokoine katika cdm?tumia mifano sahihi acha u-miiaji.
 
Huu uongo uliokubuhu.

Nataka kusikia mawazo ya Dr.W.Slaa kwenye hili.

Majuzi tuu walikuwa wanalia.
 
Last edited by a moderator:
Habari wa JF! Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mhe. Kamanda Freeman Mbowe ameweka bayana msimamo mpya wa chama chake Chadema kwamba hawatatumia ruzuku ya serkali ktk kuendesha na kujenga chama kuanzia na uchaguzi wa arumeru, Mbowe amesema kwamba ruzuku ni utumwa wa vyama vya siasa nchini kwahiyo amesema kwa kuwa CDM ni chama cha watu basi kitajengwa na watu kwa kuchangiwa michango na watu pasipo kutegemea ruzuku ya serikali" source star tv na watu wote walokuwepo arumeru leo na mimi mwenyewe"

Hajui asemacho dj mbowe!!
Kama kweli chama hakihitaji ruzuku, mbona yeye mwenyewe alichukua gari vx ambayo hapo mwanzoni makubaliano ndani ya chama ilikuwa wasitumie magari ya kifahari????

Kwanini baada ya uchaguzi alikiandikia chama invoice ya milioni 500 ikijumuisha riba kwa pesa alizotoa kusaidia kampeni ktk uchaguzi huo??

Fedha za ruzuku ambazo amekuwa akitumbua pasipo ukaguzi wa CAG leo hii ndio amekumbuka kuwa hazina faida kwa chama!!!

Watanzania ni masikini sana. Dj mbowe mwenyewe hana moyo huo wa kukichangia chama. Sasa watanzania gani anataka wajikamie kuchangia cdm? Wakati yeye mwenyewe ameshindwa kuonyesha mfano!

Mbowe unatuchanganya sana wana Cdm! Mbona hutendi kama unavyosema na kuhutubia katika mikutano yako??
 
Hatutaki hiyo ruzuku ya kitumwa...
Changia chama kupitia namba hizi
1. M-Pesa (0757755333 na 0763744334)
2.Tigo Pesa (0655783333) and
3.Airtel Money (0684425222)

Namba hizi kazisoma Mh. Mbowe mwenyewe hapa Leganga.

Waonyeshe kwanza uwajibikaji na fedha za umma pamoja na michango kwa kuweka wazi mapato na matumizi. Lakini udanganyifu huu hatuukubali.
 
comed show.
Chama hakina uzalendo
hata m23 hawakuwa hivi *
ushawahi kuona wapi mtoto akachana mbeleko?
 
Back
Top Bottom