Juma Bundala
Member
- Mar 9, 2012
- 71
- 5
PEOPLE'S POWER pekeeeeeeeeeeeee ni sawa kabisa mh MBOWE
Habari wa JF! Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mhe. Kamanda Freeman Mbowe ameweka bayana msimamo mpya wa chama chake Chadema kwamba hawatatumia ruzuku ya serkali ktk kuendesha na kujenga chama kuanzia na uchaguzi wa arumeru, Mbowe amesema kwamba ruzuku ni utumwa wa vyama vya siasa nchini kwahiyo amesema kwa kuwa CDM ni chama cha watu basi kitajengwa na watu kwa kuchangiwa michango na watu pasipo kutegemea ruzuku ya serikali" source star tv na watu wote walokuwepo arumeru leo na mimi mwenyewe"
Nampongea kiongozi wangu,Imesikika very clear,
ni lazima tukate minyororo ya shingo ili kuondoka na huu utumwa wa CCM na Serikali yake.
Kwani huko CCM wewe unajiweka kwenye kundi gani.Mkumbuke kugawanya sawa pia isiwe kuna kundi la kupata na kukosa
Kwani huko CCM wewe unajiweka kwenye kundi gani.
Mkumbuke kugawanya sawa pia isiwe kuna kundi la kupata na kukosa
Tunazungumzia kujenga chama,ila inapobidi mgao wa eneo husika,hufanyika kwa maandishi na mihuri ya wanasheria waliobobea kwenye taaluma zao.
Kwa hapo Mungu alituona.sema lingine Topical.
Litakuwa pigo lisilomithilika.Hivi Chadema isiposhinda 2015 itakuwaje?
Maana kuna watu wameshajiaminisha wamekaa wanasubiri wakombozi wao 2015!!!.
Inatakiwa kwanza tufahamu base ya CDM kukataa ruzuku. Hawa CDM kupinga ruzuku ni kwasababu ya kuona kuwa always wapo kwenye losing side. Tukumbuke kuwa ruzuku inatolewa kutokana na percentage ya wakilishi chama kinaokuwa nao. Kwa CDM wana wawakilishi wachache sana na wanaona kuwa kila mara wanapoteza na CCM ndio beneficiary wakubwa wa ruzuku kwa sababu ya idadi kubwa ya wawakilishi.Miaka 35 CCM tegenezi kwa ruzuku.. CDM big up naunga mkono 100% together tunawakilisha..
Wapi Rejao,Ritz?
Hivi Chadema isiposhinda 2015 itakuwaje?
Maana kuna watu wameshajiaminisha wamekaa wanasubiri wakombozi wao 2015!!!.
Hapana Kiziza,
Issue siyo kushinda au kushindwa,Chadema leo inajivunia mambo matatu makubwa.
1.Chadema imefanikiwa kila mara kuwarudisha wapinzani wake mezani kujipanga upya,unapopigana vita huo ni ushindi mkubwa,pale wanaporudi mezani ninyi mnapiga hatua nyingine ya ushindi.
2.Kazi kubwa inayofanya inaonekana dhahiri,kwani leo kila Mtanzania anatambua haki zake ni nini na almost 80% wanajua vipi na wapi wazisimamie na kuzidai.
3.Imefanikiwa kulishawishi kundi kubwa katika jamii kuwaamini. Mjini na vijijini.
Hayo matatu ni ushindi mkubwa sana kwa chadema towards 2015.
Lakini Utawala wa haki na Mamlaka ya kweli hutoka kwa Mungu. lakini maandalizi ya moyo ni ya mwanadamu.

acha kumtania mungu wewe,jiangalie una mheshimu na kumuogopa mungu? Amri ya sita umeizingatia au umeivunja.Wewe zungumza siasa ya mungu huyawezi,tubu acha dhambi halafu uje kuzungumza ya mungu lakini kwa sasa hatukuelewi.Zingatia ushauri acha jazbaHapana Kiziza,