Mbowe: CHADEMA hatutaki Ruzuku kwani ni utumwa kwa vyama vya siasa nchini

Nampongea kiongozi wangu,Imesikika very clear,

ni lazima tukate minyororo ya shingo ili kuondoka na huu utumwa wa CCM na Serikali yake.

Last Lady hii maneno uliyotoa kipindi hicho ni kweli kipindi hichi mkuu wa Taasisi hakuwa anachukua Ruzuku? au ilikuwa danga toto ili pesa ziingie kwenye mi miradi mingine
 
Sio peke yake!hadi wanachama....!!we ukiona wanaongelea gongo toka ktk cement kama sera ya chama wkt tunashida nyingine nyingi hadi utosini unadhan wazima hao!
yaani ukatae hela ambazo zimekuja buire wakatinukizikataa still haziwabufaishi wanachi zinaishia kwa wajanja wachache waliopo serikalini
 
Last Lady hii maneno uliyotoa kipindi hicho ni kweli kipindi hichi mkuu wa Taasisi hakuwa anachukua Ruzuku? au ilikuwa danga toto ili pesa ziingie kwenye mi miradi mingine

Ruzuku inatolewa kwa mujibu wa sheria; iwapo sheria itazingatia kuwa hakuna haja ya ruzuku basi ndio msimamo wa CHADEMA.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom