Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
0
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye pia ni Kiongozi Wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge Wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, akiwahutubia Wakazi zaidi ya Elfu Kumi na Mbili wa Jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa Magharibi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyamalango, Chuo Kikuu Cha SAUT Malimbe, Mh. Mbowe aliwakumbusha Watanzania Kote Nchini Kuwa, Kitendo cha CCM Kukosa Mbinu za Kumnunua ili aimalize Chadema Kama Walivyofanya Kwa Baadhi ya Watu ndani ya Chama Kinazidi Kuwaumizia Akili na Kuwafanya Wazidi Kukata tamaa Kila Kukicha.

Hapa anasema "Ndg. zangu Makamanda, napenda Kuwadhibitishia Kwamba Mbowe hafiki bei na Mbowe hanunuliki Kwa Bei yoyote, Kitendo cha Mbowe Kutofika Bei Kinawaumizi akili na Kuwafanya Waendelee Kukata tamaa Kila Kukicha, Isipokuwa anayefika Bei yao aende huko Kwetu ni aibu Kuwa naye ndani ya Taasisi hii ya Umma Watanzania, Safari hii Ilianza Zamani Kabla yetu Sote, hivyo Wapo Watakaopanda na Wapo Watakaoshuka Kwa Sababu tofauti tofauti, Kilichopo hivi sasa ni Kuufikia Mwisho Wake"

---------------------------

[h=2]Dr Slaa hanunuliki kwa Gharama yoyote - Mbowe[/h]
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ametoa siri nzito inayohusiana na Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa ambaye ni kati ya wanasiasa wenye mvuto mkubwa nchini.

Akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu DSM na Mwanza kiongozi huyo alisema wanachama wa CHADEMA walipomuomba kuwa Mwenyekiti wa chama hicho mwaka 2004 alitoa masharti mazito ili kukubali nafasi hiyo.

Moja ya Masharti aliyotoa ni kwamba Dr Wilbroad Slaa akubali kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.Mbowe alisema alikubali kuwa Kiongozi mkuu wa chama hicho baada ya sharti hilo kukubalika.

Pia Mbowe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mwanza Jumapili alisema CCM wanatapatapa kwa sababu hawawezi kumtenganisha na Katibu Mkuu wake kutokana na Ukweli kwamba Dr Slaa hanunuliki kwa gharama yoyote.

Itakumbukwa mwaka jana mchambuzi mmoja wa maswala ya kisiasa aliandika Makala yake inayosema Ushirika wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa ni 'THE BEST COMBINATION EVER' kutokana na mafanikio makubwa walichokipatia chama hicho.
 

mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
hakuna mtu au chama kinachotaka kumnunua mbowe hana thamani yoyote kwenye jamii amechuja kweli gharama yake ni si zaidi ya laki mbili.
 

lukatony

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
637
500
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye pia ni Kiongozi Wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge Wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, akiwahutubia Wakazi zaidi ya Elfu Kumi na Mbili wa Jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa Magharibi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyamalango, Chuo Kikuu Cha SAUT Malimbe, Mh. Mbowe aliwakumbusha Watanzania Kote Nchini Kuwa, Kitendo cha CCM Kukosa Mbinu za Kumnunua ili aimalize Chadema Kama Walivyofanya Kwa Baadhi ya Watu ndani ya Chama Kinazidi Kuwaumizia Akili na Kuwafanya Wazidi Kukata tamaa Kila Kukicha. Hapa anasema "Ndg. zangu Makamanda, napenda Kuwadhibitishia Kwamba Mbowe hafiki bei na Mbowe hanunuliki Kwa Bei yoyote, Kitendo cha Mbowe Kutofika Bei Kinawaumizi akili na Kuwafanya Waendelee Kukata tamaa Kila Kukicha, Isipokuwa anayefika Bei yao aende huko Kwetu ni aibu Kuwa naye ndani ya Taasisi hii ya Umma Watanzania, Safari hii Ilianza Zamani Kabla yetu Sote, hivyo Wapo Watakaopanda na Wapo Watakaoshuka Kwa Sababu tofauti tofauti, Kilichopo hivi sasa ni Kuufikia Mwisho Wake"Mngekatisha hizo ziara,mkaitisha kikao cha KK,na kumfukuza huyo Zitto,sio kuwahadaa wananchi.
 

kikule

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
217
225
thread hizi magamba wakichungulia tu mitima yao inaumia kweli halafu wanaanza kutoa povu na kuugua schizonea i.e wanakuwa machizi kama mtafasri wa msiba wa mandela
 

mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
naona mbowe kaanza kutafuta chama cha kumnunua lakini hatapata hakuna chama kitakacholeta mtu mroho wa madaraka kama huyo.
 

manning

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
3,524
1,250
umesema kweli mkuu wao walie tu huku CHADEMA ikiendelea kutanua mbawa zake.
 

Mzee Uchwara

Senior Member
Oct 28, 2013
119
0
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye pia ni Kiongozi Wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge Wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, akiwahutubia Wakazi zaidi ya Elfu Kumi na Mbili wa Jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa Magharibi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyamalango, Chuo Kikuu Cha SAUT Malimbe, Mh. Mbowe aliwakumbusha Watanzania Kote Nchini Kuwa, Kitendo cha CCM Kukosa Mbinu za Kumnunua ili aimalize Chadema Kama Walivyofanya Kwa Baadhi ya Watu ndani ya Chama Kinazidi Kuwaumizia Akili na Kuwafanya Wazidi Kukata tamaa Kila Kukicha. Hapa anasema "Ndg. zangu Makamanda, napenda Kuwadhibitishia Kwamba Mbowe hafiki bei na Mbowe hanunuliki Kwa Bei yoyote, Kitendo cha Mbowe Kutofika Bei Kinawaumizi akili na Kuwafanya Waendelee Kukata tamaa Kila Kukicha, Isipokuwa anayefika Bei yao aende huko Kwetu ni aibu Kuwa naye ndani ya Taasisi hii ya Umma Watanzania, Safari hii Ilianza Zamani Kabla yetu Sote, hivyo Wapo Watakaopanda na Wapo Watakaoshuka Kwa Sababu tofauti tofauti, Kilichopo hivi sasa ni Kuufikia Mwisho Wake"

Hawawezi kukununua kwa sababu ruzuku unajikopesha, tenda za chama unajipa mwenyewe, kila ikifika uchaguzi unajifanya umekikopesha chama kumbe uongo, unalipwa mamilioni ya shilingi bureee kwa nini usitajirike! Wakati chama kimegeuka sacos.
 

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
1,815
0
Hawawezi kukununua kwa sababu ruzuku unajikopesha, tenda za chama unajipa mwenyewe, kila ikifika uchaguzi unajifanya umekikopesha chama kumbe uongo, unalipwa mamilioni ya shilingi bureee kwa nini usitajirike! Wakati chama kimegeuka sacos.

Mzee Uchwara
 

Elinewinga

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
632
225
Jamani chadema ni mpango wa Mungu kuikomboa Tanzania na kweli atakayekwenda kinyume nayo atajulikana mchana kweupe,bado tutaona mengi kabla ya kufikia mwisho 2015.usijaribu kuichezea chadema hata mara moja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom